Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naona hamchelew
20190315_132444_rmscr-1.jpeg
 
Kumbe EPL inapelekaga timu 3 Europa
Mshindi wa tano anaingia mojakwamoja kwenye group stage
Mshindi wa FA naye kwenye group stage
Mshindi wa EFL nadhani kwenye mchujo
Inakuwa hivi
Ikiwa mshindi wa FA yuko kwenye top 5 kama ilivyokuwa kwa Chelsea basi hiyo nafasi inaenda kwa timu ambayo haijafunzu na iko juu kwenye msimamo wa PL mfano Arsenal waliingia kwa favor kwamba Chelsea ambaye ndie bingwa wa FA na kashika namba 5 kwa hiyo automatically namba 6 anaingia Europa kwenye group stage
Halafu Burnley waliingia kwenye qualifying stage kwa sababu Arsenal ambao walikuwa namba 6 tayari walisha injgia kwa kigezo cha timu ya pili. Burnley alishika namba 7 mwaka jana
 
Dynamokiv jana walikuwa ovyo sana, Chelsea walikutana na kibonde wala haikucheza vizuri sana kwa sababu wangecheza vizuri wangewafunga hata 10 na zaidi

Muhimu ni robo fainali
Leo UEFA wanatangaza nani na nani watacheza kwenye robo fainali, nafikiri hawatatupanga na Naples
Hahahahah mkuu unamwogopa NAPOLI
 
UEFA Draw

Liverpool VS Portal
Spurs VS Man City
Barcelona VS Man United (Mchezo utaanza Old Trafford badala ya Camp Nou ili kutoganganisha na mchezo wa Mancity kwenye marudiano)
Ajax VS Juventus

UEFA Quarter Final Draw 2019.jpg


Kama vile nawaona hawa jamaa semi final
Liverpool na Barcelona
Man city na Juventus
 
EUROPA Quarter-final draw

Napoli (ITA) v Arsenal (ENG) (Mchezo utaanza London badala ya Napoli ili kutoganganisha na mchezo wa Chelsea kwenye marudiano)
Villarreal (ESP) v Valencia (ESP)
Benfica (POR) v Frankfurt (GER)
Slavia Praha (CZE) v Chelsea (ENG)

Semi-final draw
1. Napoli (ITA) / Arsenal (ENG) v Villarreal (ESP) / Valencia (ESP)
2. Benfica (POR) / Frankfurt (GER) v Slavia Praha (CZE) / Chelsea (ENG)

Final draw
Winners of semi-final 2 v Winner of semi-final 1

Facts
Hakuna uwezekano wa kukutana na Napoli au Arsenal labda mpaka Fainali kama wahusika wamefuzu
EUROPA Quarter Final Draw 2019.jpg
 
Ninafurahi sana jinsi Girou anavyompa challenge Higuain
Kocha anatakiwa awapange sawa ili washindane kwa faida ya timu
 
Hapo fainali naomba nikutane na kibonde wangu Arsenal au Benfica
EUROPA Quarter-final draw

Napoli (ITA) v Arsenal (ENG) (Mchezo utaanza London badala ya Napoli ili kutoganganisha na mchezo wa Chelsea kwenye mardiano)
Villarreal (ESP) v Valencia (ESP)
Benfica (POR) v Frankfurt (GER)
Slavia Praha (CZE) v Chelsea (ENG)

Semi-final draw
1. Napoli (ITA) / Arsenal (ENG) v Villarreal (ESP) / Valencia (ESP)
2. Benfica (POR) / Frankfurt (GER) v Slavia Praha (CZE) / Chelsea (ENG)

Final draw
Winners of semi-final 2 v Winner of semi-final 1

Facts
Hakuna uwezekano wa kukutana na Napoli au Arsenal labda mpaka Fainali kama wahusika wamefuzu
View attachment 1046241

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Guys hii droo ya mashindano ya Ulaya inaleta hope kwetu kama Chelsea.
Katikati hapo tumeongezewa mechi mbizi dhidi ya Slavia Praha. Kwa hiyo ndani ya siku name kuanzia April 11 mpaka April 18 tunacheza mechi tatu, yaani Slavia Praha(a), Liverpool(a), Slavia Praha(h) alafu ndo Burnley tar 28 April Stamford Bridge.

Arsenal yeye anaongezewa mechi mbili dhidi ya Napol. Atacheza na Napol(h), Watford(a), Napol(a) alafu ndo acheze na Crystal Palace(h).

Tottenham yeye ameongezewa mechi 2 na Man City. Alafu Man U kaongezewa mbili na Barca!

Sasa kwa nini tusiingie top four na kubeba Europa? Maana tunaoshindana nao wana fixture ngumu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom