Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
Huu mtaa ukikung'ang'ania hakuachi hadi ligi iishe
Win 6th
Draw 6th
Lose 6th
Hazard is the beat player in the league 6th
Kante is the best DM in the league 6th
Sarri ball 6th
Sell Morata 6th
Sign Higuain 6th
Game in hand 6th
Play game in hand 6th
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1787] [emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]You forgot Against Man City, Conceded 6.
Mrusi angekuwa uwanjani jana kama kawaida yake ..Sarri angepewa mechi mbili tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sarri sio kocha wa kuifundisha timu yeyote EPL.. Arudi tu uko kwao sirie A, EPL ngoma itamshinda..Unanikumbusha ile kauli ya Mliverpool Halisi kuwa "Wewe hujui soccer management kuliko Sarri" Sarri anajua zaidi kuliko nyinyi nyote humu
Sarri atafute tu timu yenye kumaliza ligi ikiwa nafasi za kati kati, itamsaidia kujijenga zaid lkn hizi timu zetu kubwa EPL zina presha sana na namuona kabisa yeye si mtu wa kuvumilia kelele za mashabiki wala makosa ya wachezaji wake uwanjani.Sarri sio kocha wa kuifundisha timu yeyote EPL.. Arudi tu uko kwao sirie A, EPL ngoma itamshinda..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ndugu yangu hutaki tuje kwenye misiba yenu kuwafariji hata kwa maneno ya kufurahisha kama chelsix 😂😂😂🔨🔨Unanikumbusha ile kauli ya Mliverpool Halisi kuwa "Wewe hujui soccer management kuliko Sarri" Sarri anajua zaidi kuliko nyinyi nyote humu
Chelsea ndio bingwa sio timu ya mtu mmoja Salafina
Ni Chelsea tu ndo wanaweza isumbua City
Msioitakia mema chelsea mtapata tabu sana
Waliokuwa na wasiwasi na mashaka kwamba Kante atacheza vipi na Joginho naamini Jana mmepata majibu.
Kante kwa sasa atakuwa anakuwa anacheza mbele ya midfield wawili kulia. Kwa hiyo tutegemee kumuona Kante akishambulia zaidi na hivyo tutegemee magoli zaidi kuliko misimu ya nyuma.
Kama kante akicheza kwa mfumo huo basi ataweza funga goli nyingi sana
Huu usajili wa hwa madogo Joginho na Kepa sina mashaka nao mpaka sasa
Jorginho umefanya nini sasa, punguza kidogo basi kujua
Jorginho anajua sana, kante leo kakipiga namba ngap?
Jorginho
Kante
Kovacic
Mtapata tabu sana kwa hii kiungo hii
Most top 4 passes in the premier league so far:
- Chelsea - 1,337
-Man City - 1,314
-Tottenham - 1,205
-Fulham - 1,101
Sent using Jamii Forums mobile app
Arrizabalaga Kepa
Mlinda mlango bora anaechipukiaView attachment 839195