OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,312
Europa yetu hii ..tushindwe wenyewe..
Uyo praha tunamla nje ndani ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyo praha tunamla nje ndani ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora hata fainali ungekua unapita. Umeisha wewe, hapo ndio mwisho wako.Hiv ww fainal ngap nimekubonda ?
Ss tunaomba fainal tukutane na ww mteja wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusipoingia top au hata kubeba ili kombe la europa basi Sarri hatatufaa tena kwa chochote ...ni heri Arudi De Matteo tu..
Mm sion wakunisumbua ,halafu fainal namuhitaji kibonde ChelseaBora hata fainali ungekua unapita. Umeisha wewe, hapo ndio mwisho wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Top 4 mnaingia ,maana tayar ratiba imezid kuwa ngumu kwa tot na manyumbuTusipoingia top au hata kubeba ili kombe la europa basi Sarri hatatufaa tena kwa chochote ...ni heri Arudi De Matteo tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
unadhani naangali tv au malizia bas
Kwa ratiba ya man u na tot ,Kuwania nafasi ya 3 na 4 imekuwa ngumu kuliko kuwania ubingwa
Mkuu fainali tu ..usikonde..!!Top 4 mnaingia ,maana tayar ratiba imezid kuwa ngumu kwa tot na manyumbu
Tot ana mech 3 na man city ana Liverpool
Manyua pia inabid mumpige , na kwa man city anapigwa ,huku barca akimgaragaza
Mshindwe nyie,
Huku Europa nawataka fainal
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama utafika fainali basi juu hii ni ya pili nakukong'oa. Kama usipofika nakutakia pole jipange upya msimu ujao.Mm sion wakunisumbua ,halafu fainal namuhitaji kibonde Chelsea
Maana sijawahi katika fainal 6 za arsenal vs Chelsea nilizoshuhudia, ni fainal MOJA tu umeshinda ,
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukihakikisha tunaziua point 25 hadi mwisho wa msimu basi uhakika wa top four tutakuwa nao..Kuwania nafasi ya 3 na 4 imekuwa ngumu kuliko kuwania ubingwa
19:30 Kama sijakoseaWakuu gemu yetu ni saa ngap.?
Everton leo hakuna cha ugenini
Inatakiwa wakae ..japo gemu itakuwa ngumu ..maana kwa sasa jamaa wamefuuka kimtindo lakini ushindi ni muhimu zaid..
Sent using Jamii Forums mobile app
Fainal mm na wewe kama unakumbuka ni lini ulinifungaKama utafika fainali basi juu hii ni ya pili nakukong'oa. Kama usipofika nakutakia pole jipange upya msimu ujao.
Sent using Jamii Forums mobile app