Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,266
Ni kweli mkuu sifa mojawapo ya sheria nzuri ni lazima iwe universal, sheria inayobagua kundi flani haifaiSicheki game, so siwez comment about the controversial goal stuff...ila wat i can say FIFA rules should be applicable universal, asa kuweka technolojia sidhan dunia ya tatu tutaweza..kama hadi leo vibao vya substitutions tunaandika na chaki...talk abt those devices?, a joke indeed...
SAF, Vijana wake, Wanachama, wapenzi na mashabiki wa MANU popote pale walipo duniani wanayafurahia sana matokeo haya na kama TOT wataziona tena nyavu za Chelsea katika hizi dakika za lala salama basi kesho watatushambulia kama nyuki ili kuhakikisha wanapata ushindi mnono na kujisafishia njia ya kurudisha ubingwa wa EPL pale Old Trafford
Naona wakuu mmeshinda kwa utata. Hongereni ligi inaendelea kesho Emirates stadium hapo na sie tutaifanya hiwe open zaidi.
Mkuu waangalia mechi ipi?