Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
Chelsea wanabebwa waziwazi wamepewa goli la bure kabisa
Mie nilichanganya naona nilijua wamelikataa nadhani mpira ukivuka kihasi kile ni goli tu haita make sense kunyima goli kama lile
Chelsea wanabebwa waziwazi wamepewa goli la bure kabisa
Bonge la controversy simchezo. Mpira si ukivuka mstari kidogo ni goli tayari au mpaka mpira wote? Manake ule karibia nusu na zaidi umevuka mstari na kama mshika kibendera angekuwa kwenye kona kule angekubali goli.
Mpira ukigusa laini tayari ni bao. Its not a must for the whole damn thing to hit the net.
LAW 10 THE METHOD OF SCORING
Goal ScoredA goal is scored when the whole of the ball passes over the goal line, between the goalposts and under the crossbar, provided that no
infringement of the Laws of the Game has been committed previously by the team scoring the goal.
Conclusion: Chelsea wamepewa goli la bure
Mie nilichanganya naona nilijua wamelikataa nadhani mpira ukivuka kihasi kile ni goli tu haita make sense kunyima goli kama lile
Ssawa sawa mkuu ni mimi nilikosea pale nilijua kwamba mpira ukivuka kwa kiwango chochote kile ni goli lakini si hivyo.LAW 10 THE METHOD OF SCORING
Goal ScoredA goal is scored when the whole of the ball passes over the goal line, between the goalposts and under the crossbar, provided that no
infringement of the Laws of the Game has been committed previously by the team scoring the goal.
Conclusion: Chelsea wamepewa goli la bure
Acha unazi! Goli la halali kabisa
Nimejaribu kuattach picha ya goli linapoingia nimeshindwa ila soma link yangu hapo juu nimeweka sheria namba 10 ya goli
Goli halali kabisa
Naah mkuu hio pia ndio ulikuwa mtazamo wangu kwamba mpira ukivuka kidogo tu mstari liwe goli lakini sheria haisemi hivyo.sheria inasema mpira lazima wote uvuke mstari ndio liwe goli.kwa kuangalia hio sheria lile sio goli na mshika kibendera hakuwa kwenye nafasi nzuri ya kuona ule mpira kama wote umevuka amerukia kwenye conclusion kwamba ni goli.
Sasa kama kuna mda wa kumzonga refa kama vile kwanini kusiwe na mda wa kureview play kama hizi zenye utata ?
Goli halali kabisa
Sio suala la unazi hapa tembelea website ya FIFA au fuata link hii hapa chini kisha soma ukurasa wa 31 utaona picha mbalimbali jinsi goli halali linavyokuwa
http://www.fifa.com/mm/document/affederation/federation/81/42/36/lotg_en.pdf
Mpira ukigusa laini tayari ni bao. Its not a must for the whole damn thing to hit the net.
Mkuu,
hizi sheria ndivyo zilivyo. Zimeandikwa kitambo and they have not changed to accomodate the times.
To back pedal na kukumbuka world cup....lile bao la Lampard si lilivuka mstari wote na crosbar...lakini what
happened?...Jamaa alinyimwa bao la wazi dispite numerous replays showing the dogone thing.
It makes sense kubadili hizi sheria to run with the current times. Kumbuka mpira ukigusa ile side chalkline
si unasemekana umetoka nje na ni throwball?..why should it be different for a goal line situation?
Tafakari hapo.
Sheria za FIFA zimepitwa na wakati. They need to be revised.
Hiyo ni way forward kwa sasa kisheria lile si goli.