Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

hahahahaha, naona Rooney anafanya mambo ya Barcelona, hataki kuguswa.
 
nashangaa kwanini hatutumii wingi ya kulia ukizingatia beki yao kule ni mbovu!!!!!!!!!!!!
 
HT tumeshachapwa 2-0 da cjui tu itakuwaje second half
 
Waache MANU waende zao...hii chama ni moto wa kuotea mbali. Sijui kama Chelsea wataweza kufanya chochote katika dakika zilizobaki ambazi ni nyingi mno!...Mpira ni dakika 90

Mkuu vipi tena imekuwaje???hahaha naona haupo happy mkuu njoo kwenye daraja kubwa bana.....
 
Yaani anceloti lazima abadili mfumo leo la sivyo imekula kwetu

Ni ngumu kupitisha mpira katikati kwenye 18 ya Manure, kuna midfielders wengi, dawa ni kutumia width, especially right wing maana O'Shea sio mzuri....Kalou anatakiwa acheze wide zaidi ya alivyocheza kipindi cha kwanza.
 
Nasikia Mungiki Brother yuko Live leo kutoka Kibera nasubiri picha zake khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

BTW huwezi kuwategemea chelsick kwenye mambo muhimu last week walitwambia tuiwafanyie favour kwa kuwakung'uta Manure lakini wao leo wameshindwa kunenepesha bahasha. Yaani zile Bahasha za Manure nuksi kweli kweli. Iwaje nyie wauza unga mshindwe ku-mech pamoja na zile za wizi wa supermarkerts hazisaidii? Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee anyway Acheni Lote kesha andaa private jet kumrudisha Roma khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
 
Ni ngumu kupitisha mpira katikati kwenye 18 ya Manure, kuna midfielders wengi, dawa ni kutumia width, especially right wing maana O'Shea sio mzuri....Kalou anatakiwa acheze wide zaidi ya alivyocheza kipindi cha kwanza.
Kwa jinsi hii naona tuna kazi kurudisha haya magoli
 
nashangaa kwanini hatutumii wingi ya kulia ukizingatia beki yao kule ni mbovu!!!!!!!!!!!!

Endelea kushangaa tu mkuu khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Mungiki Brother yuko Live chacha rudisheni magoli ndio tuongee maana last week mliomba tuwabebe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee chacha ingiza Tor the Res

BTW Mwambie MB aweke pics ... ..
 
Stoke City 1 Arsenal 3....ooops! it's the opposite!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom