OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Hahahaha sisi uku tunachekaa hahahahaNiliwaambia mapema mnaeza lia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha sisi uku tunachekaa hahahahaNiliwaambia mapema mnaeza lia
Kwenye jukwaa Arsenal..Sie Wolves tuna comment wapi?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nipo apa vipi uko nini kinaendelea ..nasikia kuna kilio ukoooNamtafuta huyu mtu
Mimi niko kwenye msiba uku napambana kufunga maturubai mkuu ..wafiwa hawaamini kilichowapata ..mtaani kumepoa sana huu msiba inaonekana ni mzito kweli....Huyu mtu mmemuona wapi?? Ollachuga Oc, anaweza kujidhuru au kukudhuru, taarifa popote pale utakapomuona
Sent using Jamii Forums mobile app
Apo zote tunashinda mkuu ..labda Liver ndo tunaeza draw nao ...Tuna series ya mechi ngumu sijui itatumika magic gani? West Ham, Watford, Liverpool, Man U, Leicester alafu jmosi ijayo Everton
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha mkuu hizi ni fedheha...Droo si mbaya, mmejitahidi maana last game Wolves aliwatenda.
It is an improvement.
Hahahahahahaha
Last game alikukalisha 2 - 1, droo ni improvement mkuu.
kwa mpira wetu wa plan moja tu sijui
Sasa mkuu kilichobaki Si kujipa moyo tu ..hakuna namna ingine...Bakiza akiba ya maneno Mzee Baba, unashinda hizo mechi zilozobakia kwa Chelsea hii hii ya Sari yenye mpira mwingi usio na mafanikio yoyote kimagoli au Chelsea ipi hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui Tajiri siku hizi kachacha hadi hamfukuzi Sari? yani Chelsea ni ya kucheza mpira ball position 90% Vs 10% bila ya shuti lolote on target?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh...! Bac ngoja tuendelee kuugulia maumivu Kaka maana hakuna jnc ss.Tajiri kanyimwa visa ya kuishi nchini, anaruhusiwa kuja kucheki game tu.
Nadhani interest imepungua.
Duuuh...! Bac ngoja tuendelee kuugulia maumivu Kaka maana hakuna jnc ss.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ujenzi wa uwanja kasitisha kujenga kwa sababu hiyo.