interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,410
Kuna Jamaa m1 alichambua vzr sana jana kwenye uzi wenu kwa mechi mlizoshinda nyingi sana bila ya kuwa na Kiungo m1 pia akaonesha mlipomtumia huyo kiungo mlipoteza kiasi gn ushindi "Henandezi" km sikosei.
Sent using Jamii Forums mobile app
EPL ni ngumu sana mwishoni, kuna timu zinatafuta top 4 na kuna zile zinakwepa kushuka daraja, zinakomaa sana yaani.
Sent using Jamii Forums mobile app