Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,586
Chanzo cha kunyimwa hiyo viza ni kp hasa hadi asitishe hayo yote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye ana uraia wa Russia na Israel.
Russia wanalalamikiwa kumwua agent wa UK kwa kutumia biological weapon, na wamemwua ndani ya ardhi ya Uingireza (inavyosemekana).
Sasa kwa sababu jamaa ni rafiki wa Putin, wakambania kirenew, so kwa kutumia pass ya Israel anaingia kuangalia mechi tu.