21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,299
- 2,843
Ooi humu
Huchoki kukaanga sumu weweHichi kitimu cjui cha wapi mlichojipigia tu mcdhani ni Wolves ndy mtawafanya hivyo
Mkuu ilikuwa goli tano za wazi (kati ya hizo kafunga moja), short on target zote tano za kipindi cha kwanza zilikuwa ni za Pedro. Hata hivyo Pedro kafufuka (kazaliwa upya) baada ya ile incident ya Kepa kukataa kufanyiwa Sub
Sure man. Ila kocha anapaswa kumpa Odoi game time ya kutosha. Kila anapopewa anaonyesha uwezo wake. Naanza kuhisi Odoi ni zaidi ya Pulisic. Lakini hebu cheki kauli ya kocha halafu fikiria kuna klabu zipo tayari kutoa pesa ili kumpata.Mkuu ilikuwa goli tano za wazi (kati ya hizo kafunga moja), short on target zote tano za kipindi cha kwanza zilikuwa ni za Pedro. Hata hivyo Pedro kafufuka (kazaliwa upya) baada ya ile incident ya Kepa kukataa kufanyiwa Sub
Nilisoma sehemuSure man. Ila kocha anapaswa kumpa Odoi game time ya kutosha. Kila anapopewa anaonyesha uwezo wake. Naanza kuhisi Odoi ni zaidi ya Pulisic. Lakini hebu cheki kauli ya kocha halafu fikiria kuna klabu zipo tayari kutoa pesa ili kumpata.
Naanza kuhisi huyu dogo anaondoka.View attachment 1041022
Sent using Jamii Forums mobile app


huyo Sancho alikuwa famous na danger Sana kwenye under 23 huko chini aliwahi kuwa maarufu we usiye fatilia unakurupuka tu na mhemko wako
Nilisoma sehemu
odoi alikuwa anamkarisha sancho benchi England under 18,
Sancho anamkarisha benchi pulisic , dortmund.
Sent using simu mbovu
Sarri ni mzuri wa kukariri mambo, Mbape kawa top akiwa 19 ni kwa sababu alipewa nafasi, ODOI kashaproove kuwa anaweza kuleta matokeo kwa miaka 18, basi si angempa hata 20mins kila game?Sure man. Ila kocha anapaswa kumpa Odoi game time ya kutosha. Kila anapopewa anaonyesha uwezo wake. Naanza kuhisi Odoi ni zaidi ya Pulisic. Lakini hebu cheki kauli ya kocha halafu fikiria kuna klabu zipo tayari kutoa pesa ili kumpata.
Naanza kuhisi huyu dogo anaondoka.View attachment 1041022
Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha yuko sahihi. Bado Odoi hajafika top. He needs to improve hata yeye hilo analikubali.Sure man. Ila kocha anapaswa kumpa Odoi game time ya kutosha. Kila anapopewa anaonyesha uwezo wake. Naanza kuhisi Odoi ni zaidi ya Pulisic. Lakini hebu cheki kauli ya kocha halafu fikiria kuna klabu zipo tayari kutoa pesa ili kumpata.
Naanza kuhisi huyu dogo anaondoka.View attachment 1041022
Sent using Jamii Forums mobile app
Odoi anastahili kuongezewa muda na mechi, ni kweli hajafika top lakini Sarri nae kuna ukweli ambao hauoni. Atafikaje top akiwa anapewa dkd 10 tena kwenye baadhi ya mechi za Europa tu. Sisemi awe first XI lakini aongezewe muda hata wa dk 20 kila mechi including EPLKocha yuko sahihi. Bado Odoi hajafika top. He needs to improve hata yeye hilo analikubali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya Kitu unachokosea kuandika na kufikiria ni kumweka chelsea nafas ya 3 hata kama una mech mkononi. Wolves ananyonyoa mtu leoUle itabiri wangu wa Spurs kutokuwepo top 4 watu waliuita ramli na sasa ndiko Spurs wanakokwenda
Nakumbusha tu msimamo wa ligi baada ya tar 12/May
- Mancity
- Liverpool
- Chelsea
- Man united
- Spurs
- Arsenal
Karibu tuangalie burudani leo, Chelsea sio ile ya kichwa cha mwenda wazimu tenaKati ya Kitu unachokosea kuandika na kufikiria ni kumweka chelsea nafas ya 3 hata kama una mech mkononi. Wolves ananyonyoa mtu leo
Timu ambayo inaweza maintain matokeo na labda wakabadilishana nafasi ni Man U na Chelsea, Spurs na Arsenal bado ni walewaleKati ya Kitu unachokosea kuandika na kufikiria ni kumweka chelsea nafas ya 3 hata kama una mech mkononi. Wolves ananyonyoa mtu leo