Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,736
- 1,582
Nashangaa mpaka sasa bado kuna watu wanamtetea Kepa kwa upumbavu alioufanya.
Lakini watu wanapaswa kufahamu kuwa ule ni uamuzi unaotoka technical bench. And possibly kocha wa makipa ndiye kasuggest Kepa atolewe. Na kipa wa makocha ndo wanajua zaidi nani mzuri wapi na nani anafaa wapi.
Possibly walijua Caballero anaweza kusaidia zaidi kwenye penalty kuliko Kepa. Na yeye ni nani apinge uamuzi huo?
Hakuna sababu yoyote ya kujustify tendo la Kepa. Nimeskia mpaka commentator anasema "I have never seen this before". Na Maurizio Sarri kafanya kumsitiri Kepa.
Sent using Jamii Forums mobile app