Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu pole sana.

Dogo kakosea sana,amemdhalilisha kocha na pia amemkosea nidhamu Caballero. Willy ni mzuri kwenye matuta nadhani.
Penalties hazina ufundi mkuu ..hata hivyo dgo kajitahidi kachomoa moja.

Kama Luiz na mtoto wa Sarri (jorgihno) wasingekosa ..tungeongea mengine sasa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonesha kias gan sarri kashindwa kucontrol dressing room haya mambo hayaanzii hapa uwanjan hii trial kuna mengi nyuma ya pazia
I stand for Chelsea hao wote wataondoka chelsea itabaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KITENDO CHA KEPA KUKATAA KUTOKA UWANJANI BAADA YA KUFANYIWA SUB NA SARRI IWAPO CHELSE ITAPOTEZA KWENYE MATUTA BASI KITAMTAFUNA KIZAZI NA KIZAZI NA WALA SARRI HATOMSAMEHE KWA AIBU HII
Kepa ni mchezaji mzuri ila kwa hiki alichofanya kama mimi ni Sarri hatocheza game hata moja. Sitojali gharama yake, wala uwezo wake. Vitendo kama hivi vinawafundisha nini kina CHO na Ampadu pamoja na wachezaji wengine.

Nidhamu kwanza, sometimes tunamlaumu Sarri kumbe mambo kama haya ndio yanafanya Sarri aonekane hana kitu. Huko dressing room sijui itakuaje..

For me he will never play again.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Penalties hazina ufundi mkuu ..hata hivyo dgo kajitahidi kachomoa moja.

Kama Luiz na mtoto wa Sarri (jorgihno) wasingekosa ..tungeongea mengine sasa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo kafanya ujinga mkuu hilo kataa lakini ndio ukweli.

Kuhusu ufundi ni pamoja na kumsoma mchezaji,umeona alichofanya Ederson kwenye penalty ya Jorginho?

Jiuzileze itakuwaje siku wachezaji wengine wakigoma kutolewa?
 
52621823_196995611256899_2894990760213616913_n.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom