Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Steve alishasema
IMG-20190224-WA0035.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan huyu kocha kaona amuanzishe Hazard kama false nine. Then Higuain benchi, Then Pedro acheze kushoto.

Kwangu nilikua naona hivi kama Hazard anacheza namba Tisa kushoto mpeleke Willian then kulia CHO. Pedro atokee benchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mfumo wa kocha leo ungezaa matunda ..labda angemueka Higuan angekamiwa Sana ..

But all in all yote ni matokeo ..kufungwa, kushinda fresh tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KITENDO CHA KEPA KUKATAA KUTOKA UWANJANI BAADA YA KUFANYIWA SUB NA SARRI IWAPO CHELSE ITAPOTEZA KWENYE MATUTA BASI KITAMTAFUNA KIZAZI NA KIZAZI NA WALA SARRI HATOMSAMEHE KWA AIBU HII
Yaani nimemshangaa kwa kweli,aisee kwa nini kaonyesha dharau namna hii?
 
MMEKUFA KIUME

hahaaaaaaa

SWALI

JE Ollachuga Oc atajipiga ban au atajitokeza?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo mzee baba ..iyo nafasi ya nne najua umenishikia tu.

Kwa leo nilijua tu City lazima angeshinda tu japo sikutegemea kama ni kwa penalties ..

Ila all in all tumefungwa..

Pole kwa fans wote wa Chelsea ..bado tuna Europa tunaeza fanya maajabu uko..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu angalia Video hiyo Kitendo alichokifanya Kipa Wako

Sarri kapanda Hasira mpaka karusha ngumi.

Angelikuwa Mourinho au Guardiola ndiye Kocha basi aaingeliichezea tena Chelsea huyo kocha.

Kipa alitaka apambane mpaka Dakika ya mwisho japo sio heshima kisoka lakini ameonesha ushujaa Fulani hivi ..

Sarri alipaswa/anapaswa kuelewa hilo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KITENDO CHA KEPA KUKATAA KUTOKA UWANJANI BAADA YA KUFANYIWA SUB NA SARRI IWAPO CHELSE ITAPOTEZA KWENYE MATUTA BASI KITAMTAFUNA KIZAZI NA KIZAZI NA WALA SARRI HATOMSAMEHE KWA AIBU HII
Kweli Kepa amemdharau sana Sarri pamoja na Wily Caballero, wametia huruma sana.

Ningekuwa Sarri angesugua bench mpaka atafute timu.
 
Nipo mzee baba ..iyo nafasi ya nne najua umenishikia tu.

Kwa leo nilijua tu City lazima angeshinda tu japo sikutegemea kama ni kwa penalties ..

Ila all in all tumefungwa..

Pole kwa fans wote wa Chelsea ..bado tuna Europa tunaeza fanya maajabu uko..

Sent using Jamii Forums mobile app
Pale nimekaa jumla namtafuta totenham sasa hiv, nimtoe hiyo namba 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom