Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Labda umkumbushe wewe yaliyomfika Tevez huenda akafahamu!

Na anashindwa Kuelewa kuwa hivi Kuna Kocha gani atakayethubutu kuingia Mgogoro na Messi, Ronaldo na Zlatan (Katika ubora wake) akabaki Salama?

Sasa si la kushangaa kuona Messi au Ronaldo wanamtukana Kocha au hata Kumpiga Ngumi na Still wakabaki Salama na Kocha akajifanya Yameisha hakuna mgogoro.

Lakini Mtazame Ferguson kama Kina Stam, Nestroy, Beckham, Kean je walibaki Salama walipojaribu kutaka kumpanda kichwani??

Ni sawa na Wakati wa Lampard kuwa Hakuna kocha aliyewahi kukwaruzana la Lampard akabaki Salama.

Nakubali nilihemka kwa kesi ya Tevez, hata wakati naandika nilihisi kwamba mambo hayakuenda vizuri baada ya Tevez kumgomea kocha wake lakini sio tu Tevez hata kocha alikuja timuliwa kwa sababu ya sakata hilo hilo

Back to Messi, Ronaldo and Slatan:
Kwa sababu yeyote ile kupatana ni kupatana, lazima kuwepo na mmoja anayeshuka na kukubali yaishe. Ndivyo inavyotokea kwa mastaa kama akina Ronaldo na Messi, kocha akikubali kwa sababu ya nguvu walizonazo kwenye klabu, tatizo linaisha, na mimi sikutaka kwenda huko ndani kwwenye sababu ila kwa sababu kuna wanaopenda kukosoa wameamua kwenda deep
Hata kwa upande wa wachezaji, mchezaji akiamua kushuka na kuomba msamaha, yanaisha
Kumgomea kocha ni moja ya conflict wanazokutana nazo makocha dhidi ya wachezaji au wachezaji dhidi ya makocha wao na resolution yake inafanana na matokeo yake ni either kushindwana au kusuluyhisha kwa mmoja au wote kushuka kama ilivyotokea kwa Kepa na Sarri

Nakubaliana na mawazo, profile inayomzidi mwenzake ndio yenye nguvu bila kujali ni kocha au mchezaji, Rais mwenye klabu kubwa kama Real Madrid alipotofautiana tu na Ronaldo yakamkuta yaliyomkuta. Case ya Tevez ni kwa sababu yeye alikataa kushuka baada ya kutofautiana na kocha. Mbona Baloteli alikuwa na magomvi yasiyoisha na Mancini lakini walielewana kila walipomaliza ugomvi
 
Naona leo tukipoteza na kibaya kocha hata tukifungwa hana plan ya kurudisha kabisa
Acha kukata tamaa kizembe mkuu,mechi yako ya mwisho umeweza kuwakazia Man City mpaka wakaenda kupata ushindi kupitia mikwaju ya penati,leo hii unahofia kufungwa na Spurs..!?
Burnley kaweza kuwapiga hao Spurs,kwanini wewe ushindwe,au Burnley ana timu nzuri kushinda wewe..!?
Uwezo wa kumpiga Spurs unao vizuri sana,labda ukose nia na sababu tu...
You are Kings of London bhana..!
 
nimekuwa fan wa cfc mda mrefu kwenye final huwa hivyo hila utaina labda son of sarr asiwemo
 
Labda umkumbushe wewe yaliyomfika Tevez huenda akafahamu!

Na anashindwa Kuelewa kuwa hivi Kuna Kocha gani atakayethubutu kuingia Mgogoro na Messi, Ronaldo na Zlatan (Katika ubora wake) akabaki Salama?

Sasa si la kushangaa kuona Messi au Ronaldo wanamtukana Kocha au hata Kumpiga Ngumi na Still wakabaki Salama na Kocha akajifanya Yameisha hakuna mgogoro.

Lakini Mtazame Ferguson kama Kina Stam, Nestroy, Beckham, Kean je walibaki Salama walipojaribu kutaka kumpanda kichwani??

Ni sawa na Wakati wa Lampard kuwa Hakuna kocha aliyewahi kukwaruzana la Lampard akabaki Salama.
Mbona kama ujazungumzia mpira mzee ngwaba au mimi ntakuwa na matatizo

cityzen chairman am here
 
*Ila* *tuache* *utani sarr ni* *bonge* *la* *kocha* *jamaniii* *kama* *mnataka kuamini angalia city kamfunga sita lakn juz kadroo*

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu jitahidi kushirikisha ubongo kabla hujapost. Sijui maudhui yanakua kuchekesha au kujifurahisha ila unaishia kuaibika mwenyewe. Unaemfanyia bullying kakuacha mbali sana.

Teh pole mkuu.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KIKOSI CHA LEO CHANGU CHA CHELSEA KAMA NINGEKUWA KOCHA

Kepa
------
Azpiculeta Ludiger Luiz Emmerson
------
Kante
-------
Cheek Bakley/kovacic
--------
Hazard Higuan Hodoi

SUB

caballero alonso chrisntens willian drinkwater
Zapacosta pedro Giroud
 
Acha kukata tamaa kizembe mkuu,mechi yako ya mwisho umeweza kuwakazia Man City mpaka wakaenda kupata ushindi kupitia mikwaju ya penati,leo hii unahofia kufungwa na Spurs..!?
Burnley kaweza kuwapiga hao Spurs,kwanini wewe ushindwe,au Burnley ana timu nzuri kushinda wewe..!?
Uwezo wa kumpiga Spurs unao vizuri sana,labda ukose nia na sababu tu...
You are Kings of London bhana..!
kipindi tunapigwa na bonermouth kwani ilikuwaje
 
KIKOSI CHA LEO CHANGU CHA CHELSEA KAMA NINGEKUWA KOCHA

Kepa
------
Azpiculeta Ludiger Luiz Emmerson
------
Kante
-------
Cheek Bakley/kovacic
--------
Hazard Higuan Hodoi

SUB

caballero alonso chrisntens willian drinkwater
Zapacosta pedro Giroud
Ujifunze kuandika vizuri majina ya wachezaji, Chelsea timu kubwa unaweza pigwa ban kwa makossa hayo
 
Kwenye Press Conference ya jana Sarri anasema yafuatayo mengi yakiwa kumhusu Kepa kulingana na alivyoulizwa na waandishi wa habari:
  1. Kasema Kepa kaomba radhi kwa Benji la ufundi na kwa wachezaji wenzake, kwa sababu kaomba radhi hatutaki kumuua kimpira
  2. Alipoulizwa kuwa hakukasirishwa na jinsi wachezaji walivyolichukulia lile tukio la Kepa tofauti na Enzi za akina Terry na Lampard ambapo tatizo kama hilo likitokea wachezaji wanalishughulikia haraka kwa ajili ya kocha wao? kasema tukio lile lilikuja kipekee na liliwaduwaza hata wachezaji zaidi kuliko kwenye benji, kwenye benji walireact haraka zaidi ya wachezaji uwanjani
  3. Alipoulizwa kuhusu Kepa kucheza leo, kasema atafanya maamuzi kwa ajili ya Chelsea ila hatafanya maamuzi na Chelsea kuhusu Kepa. Anataka kutuma ujumbe kwenye timu, Kama ujumbe ni Kepa kucheza atacheza na kama ujumbe ni Kepa hatacheza ni hatacheza
  4. Kasema Kepa kafanya makossa makubwa na kila kosa lina madhara yake
  5. Kasema Kepa ni mchezaji mchanga na anaamini Kepa kagundua kuwa kafanya makossa makubwa na kwa yeye hiyo inatosha
  6. Alipoulizwa kuhusu kapteni angechangamkia kusuluhisha sakata hilo kwa sababu David Luiz kafanya hivyo ila Kapteni hakufanya yeye alijibu kuwa Kapteni kazungumza naye kuhusu sakata la Kepa baada ya mechi na pia kazungumza na Kepa na baadaye wote kama timu tumelizungumzia hilo swala na hali ya hewa ni shwari kwa sasa.
  7. Kuhusu form ya Alonso, alipoulizwa kuwa Alonso ni mojawapo wa Left Back wakubwa duniani, je bado anaamini hivyo? Kasema inategemeana na muda, kwa sasa Emerson anafanya vizuri kiakili na kimwili zaidi na nitamtumia yeye
Hitimisho
  1. Kepa kucheza leo ni 50/50
  2. Alonso kucheza ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
  3. Pia hata kama Kepa atacheza naona Sarri lazima atamuiadhibu kiaina ili apeleke ujumbe kwa wachezaji wengine wajifunze kumtii kocha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom