Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

NimNimesema kwenye sub ya kipa

KWA HALI ILIVYOONYESHA KIPA ALIJUA ANAFANYIWA SUB KUTOKANA NA INJURY KITU ALICHOTHIBITISHA KUWA YUPO FITI KUENDELEA.

KAMA INGEKUWA NI SUB ALIYO PLAN ASINGESUBIRI MPAKA AUMIE NDO AMTOE,,

TUKUMBUKE SUB ALIYOFANYAGA VAN GAL KIPINDI YUPO UHOLANZI UTAGUNDUA KABISA NI GAME PLAN AMBAYO ALIJUA KUWA YULE KIPA ANAYEINGIA NI MZURI KWA PENALT

Sent using Jamii Forums mobile app
Umefafanua vizuri
Sub ile haikupangwa, sub za kupangwa huwa ni pamoja na sub za kipa hasa kwenye penalties na inavyoelekea hii hakuwa kwenye plan, Kepa alikuwa adake mpaka penalties, hata Sarri anakiri alifikiri aliumia na daktari alichelewa kupeleka taarifa na ndio maana Kepa aliashiria kuwa hakuumia anaweza kuendelea, anyway hata kama hii ni makosa na iwe hivyo na ipite kwa sababu hapa ni kama mchele umemwagwa katikati ya kuku
 
Kipa wa Chelsea anajua Sarri ni mtu mdogo tu pale Chelsea,hata maamuzi ya kumuweka benchi msimu mzima hana,pia nafikiri anaamini kuwa Sarri ataondoka soon na kumuacha yeye akiendelea kukaa golini..!
Sidhani kama angethubutu kufanya alichokifanya kwa kocha kama Guardiola..!
Hii kitu itaendelea kumuumiza mno Mzee Sarri..!
Kukifanya angeweza lakini hatua za kinidhani zingechukuliwa. Haya mambo yanatokea hats Ferguson alikuwa akifanyiwa mambo ya uvunjifu wa nidhamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu imecheza vizuri sana. Na inaonekana combination ya Jogihno na Kante inaweza kufaa sana over time
Bado tuna timu imara ya kuleta ushindani kwa gemu zilizobaki ..endapo tutacheza kwa spirit kama ile ya jana..

Yaliyo tokea jana tuyasahau tu focuss mbele tu ..

Always we're stronger as a blue fans.

Keep The Blues Flag Fly High..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu imecheza vizuri sana. Na inaonekana combination ya Jogihno na Kante inaweza kufaa sana over time

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mchezaji alikuwa makini jana, zile za nyuma tulifungwa kwa sababu naamini wachezaji walitaka iwe hivyo (labda kwa kumuonyesha kocha kuwa hawapendezewi na anavyowatusi kumipitia media) na pia Alonso ni mzigo jamani, magoli yote tukifungwa angalau lazima kuna moja au mawili ya Alonso
 
Kwa kufunga huu mjadal ebu tujikumbushe orodha ya wachezaji waliowahi kuwagomea makocha wao ndani ya miaka 10 iliyopita

Cristiano Ronaldo - Real Madrid
2017, April - Cristiano Ronaldo alimgomea Zinedine Zidane wakati Madrid wakicheza na Bayern Munich kwenye robo fainal za UEFA Championship, hata hivyo mgomo wa CR7 ulileta manufaa kwani kwenye dakika za extra time Ronaldo alifunga mabao mawili muhimu na kuiwezesha Real Madrid kusonga mbele kwenye nusu fainali za UEFA

Lionel Messi - FC Barcelona
2014 - Lionel Messi alimgomea kabisa Luis Enrique wakati walikubaliana apate sub dk 15 kabla ya mpira kuisha

Zlatan Ibrahimovic - AC Milan
2010 - Zlatan Ibrahimovic alimgomea Max Alegri wakati huo akiichezea AC Milan

Carlos Tevez - Manchester City
2010 - Carlos Tevez alimgomea Roberto Mancini wakati huo akiichezea Man City

NB
Pamoja na migomo hiyo wachezaji wote waliendelea kuwa na mahusiano mazuri na makocha wao
 
Zidane to take over at Chelsea
Former Real Madrid manager Zinedine Zidane is not put off taking over at Chelsea due to the transfer ban looming over the club. The Sun report that because Chelsea will appeal the ban, it will give them a chance in the summer to load up on players before any ban kicks in. The paper believes that the Frenchman will be handed a £200million war chest in to rebuild their squad, with Isco, Alex Telles, Kalidou Koulibaly and Mauro Icardi heading up the list.
 
Kepa Arrizabalaga: Chelsea goalkeeper fined & apologises for Wembley incident

Chelsea signed Kepa Arrizabalaga from Athletic Bilbao for a club record £71m in August 2018

Goalkeeper Kepa Arrizabalaga has been fined a week's wages and apologised for refusing to be substituted during Chelsea's Carabao Cup final defeat by Manchester City on Sunday.

The Spaniard refused to be replaced by Willy Caballero at Wembley.

"Although there was a misunderstanding, on reflection, I made a big mistake with how I handled the situation," Kepa said in a Chelsea statement.

Manager Maurizio Sarri said he and Kepa had since had "a good conversation".

Sarri, who reacted angrily when Kepa refused to leave the field towards the end of extra time, also said the incident had been "a misunderstanding".

But he added: "Kepa realises he made a big mistake in the way he reacted.

"He has apologised to me, his team-mates and the club. It is up to the club if they want to discipline him according to the club rules, but for me this matter is now closed.

"The team performance as a whole was extremely positive and it is a shame to see how this incident has overshadowed our efforts in what was a very competitive cup final

Kepa, the club's record £71m signing, defied Sarri's attempt to substitute him for Caballero before Manchester City won on penalties. The Italian appeared furious and walked down the tunnel before quickly returning.

The 24-year-old former Athletic Bilbao player said: "I wanted to take the time today to apologise fully and in person to the coach, to Willy, my team-mates and to the club.

"I have done this and now I want to offer the same apology to the fans. I will learn from this episode and will accept any punishment or discipline the club decides is appropriate."

The club will donate Kepa's fine to the Chelsea Foundation.

Kepa situation was big misunderstanding - Sarri

Closed 100%, all attention to tomorrow fixture
 
Balack on Hazard stay at Chelsea
  • "He's a really good player that would make an impact at any club. Hopefully he stays at Chelsea"
  • "You have to give him also players on his side so he can win something. In the last years, Chelsea are losing this attitude of winning trophies"
  • "Maybe he is seeing that the club can't give him that anymore. But if he can have the feeling he will win something maybe the option is to stay."
 
Sub inapangwa mazoezini?????????
Mkuu bora nyamaza usiaibike hapa.

Kwahiyo Kocha anapanga Kwenye Mazoezi kuwa Game ya Kesho Nitamtoa Willian dakika ya 70, Nitamtoa Higuan dakika ya 75 na nitamaliza na Kovacic dakika ya 80 si ndiyo?

Kwahiyo hapo ikitokezea Joginho au Alonso kuwa na Bad game basi hawezi kuwatoa Coz hakupanga tokea kwenye Mazoezi?

Kocha yoyote mpaka kufikia Mpira unaanza basi hajui nani atakayemfanyia Sub kwani Sub inafanywa kulingana na Hali ya Mchezo unavyoendelea
Nadhani kwenye game ya United na Liverpool OGS alipanga kumuingiza Lingard halafu amtoe tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kufunga huu mjadal ebu tujikumbushe orodha ya wachezaji waliowahi kuwagomea makocha wao ndani ya miaka 10 iliyopita

Cristiano Ronaldo - Real Madrid
2017, April - Cristiano Ronaldo alimgomea Zinedine Zidane wakati Madrid wakicheza na Bayern Munich kwenye robo fainal za UEFA Championship, hata hivyo mgomo wa CR7 ulileta manufaa kwani kwenye dakika za extra time Ronaldo alifunga mabao mawili muhimu na kuiwezesha Real Madrid kusonga mbele kwenye nusu fainali za UEFA

Lionel Messi - FC Barcelona
2014 - Lionel Messi alimgomea kabisa Luis Enrique wakati walikubaliana apate sub dk 15 kabla ya mpira kuisha

Zlatan Ibrahimovic - AC Milan
2010 - Zlatan Ibrahimovic alimgomea Max Alegri wakati huo akiichezea AC Milan

Carlos Tevez - Manchester City
2010 - Carlos Tevez alimgomea Roberto Mancini wakati huo akiichezea Man City

NB
Pamoja na migomo hiyo wachezaji wote waliendelea kuwa na mahusiano mazuri na makocha wao
Tevez aliendelea kuwa na mahusiano mazuri na kocha wake..!?
Sidhani..!
 
Binafsi nampa heshima then namuamini kipa wa chelsea ila nafikili benchi la ufundi yaani pamoja na kocha walimtoa arizabalaga mchezoni thanks

cityzen chairman am here
 
Tevez aliendelea kuwa na mahusiano mazuri na kocha wake..!?
Sidhani..!

Labda umkumbushe wewe yaliyomfika Tevez huenda akafahamu!

Na anashindwa Kuelewa kuwa hivi Kuna Kocha gani atakayethubutu kuingia Mgogoro na Messi, Ronaldo na Zlatan (Katika ubora wake) akabaki Salama?

Sasa si la kushangaa kuona Messi au Ronaldo wanamtukana Kocha au hata Kumpiga Ngumi na Still wakabaki Salama na Kocha akajifanya Yameisha hakuna mgogoro.

Lakini Mtazame Ferguson kama Kina Stam, Nestroy, Beckham, Kean je walibaki Salama walipojaribu kutaka kumpanda kichwani??

Ni sawa na Wakati wa Lampard kuwa Hakuna kocha aliyewahi kukwaruzana la Lampard akabaki Salama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom