Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kila timu inayokutana na chelsea saiv kwenye Epl inajua tayar kama cyo itaondoka na point zote 3 kutoka kwa chelsea basi lazima wagawane point. Yan hiyo ndy philosophy ya Engalnd saiv. Ingekua ni mtoano, au chelsea atoke au penalt zipigwe hlf hapo ndy itumike bahat kuamua nani apite
 
Wewe kijana acha kuongea pumba
Kiponde ni wewe mechi
Arsenal (2-0)
Bournemouth (4-0)
Man city (6-0)
Man utd (0-2)
Man city (?-?)

Sasa hiki kigenge chako na man utd nani kibonde? Usijitoe ufahamu
Sisi katika mechi 12 tumefungwa moja tena siyo domestic ni international (UEFA)
Sasa niambie nyie katika mechi 12 mumefungwa mechi ngapi!?
Acha kujifariji,kibonde ni timu yako fullstop!!

Sent using Jamii Forums mobile app
dah sawa
 
FB_IMG_1550684301418.jpg
 
Najua ili jukwaa halina hali njema ila

full time UCL

man city 3
vs
schakle 2

CARABAO FINAL LOADING...........


cityzen chairman am here
 
Kama mnavyojua wadau.....Uefa imeisha jana ratiba yake mzunguko wa kwanza......tuendelee na majukumu ya kikaz sasa
 
Joghno kwa mara y kwanza akiwa bench cfc inafunga goli safi kwa midle majini kante via will to giroud goal la acounter rattaCk
 
Maurizio Sarri defended Jorginho against home fans

Maurizio Sarri yesterday defended Jorginho after Chelsea fans booed the midfielder onto the pitch in their Europa League 3-0 win against Malmo at Stamford Bridge. The home fans made their feelings clear about under-fire midfielder Jorginho.
 
Kwa uchezaji ule wa jana na navyomjua PEP hata akicheza na Derby County ataweka vifaa vyake vyote, sembuse kwa Chelsea ataweka full squad
Nahisi kama 4G au 5G inatusubiri on sunday
Shida ya Malmo hawajui uchezaji wa Sari wakati huku kwenye EPL Sarri hana jipya kwa sababu mamaeneja wenzake wameshamjua vizuri kuwa ni mtu asiyebadilika kwa hiyo kumfunga ni rahisi kama kunywa uji wa mgonjwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom