Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Menejimenti ilifanya nn baada ya kuaddress mabadiliko ya wachezaji? #SackView attachment 1026405
Wenye akili watalielewa hili ila wengi sijui kama watasoma hili bandiko lenye nukuu za Conte.

Na mimi nimesema humu kwamba Sarri ameshasema hawezi kubadili mfumo wakati plan A yake ya kwanza bado haijaeleweka. Na pia aina ya wachezaji tulionao ni shida. No wonder why Zidane anataka apewe £200 M za usajiri na power ya kuuza na kununua wachezaji katika club. Vinginevyo anajua yatampata ya Conte na Sarri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marehemu tushazika tangu week iliyopita ila bado matanga hayajaisha kila siku ni vilio vya wafiwa😂😂😂
 
IMG-20190219-WA0028.jpeg
 
Ili chelsea ikae sawa huyu kocha hatufai lakini pia laZima tuanze maisha bila hazard... Hazard ni kirusi chelsea na pia sioni kama zidane ni mtu sahihi sana bosi apigane amchikue poshetino


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamchukulia Poa kocha aliyechukua uchezaji bora wa dunia,euro,world Cup vyote akiwa mchezaji, UEFA, serie A, akiwa kocha uefa 3,la liga ,ndg unamtaka potechino ambae FA Cup inamshindwa unayo fursa kuwaza kwa zizzou hakuchukua mazaga haya kwa bahati
Ili chelsea ikae sawa huyu kocha hatufai lakini pia laZima tuanze maisha bila hazard... Hazard ni kirusi chelsea na pia sioni kama zidane ni mtu sahihi sana bosi apigane amchikue poshetino


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Makocha wanajitafutiaga kufukuzwa wenyewe,huwezi kuwa na Kante halafu umchezesha Jorginho DM. Ni ajabu.

Yaleyale ya Jose kumtuliza Herrera bench.
 
muna maneno ya k

hanga nyie watu dahhhhhhhhhhhhh na kamwe hamuwezi kuwa halisi kwa tabia hizi,maana muna indirect attack ......

Hahaha, mkuu sisi ndo HALISI, tunaamini kwamba kocha hakosei, ana management skills kuliko sisi, na hakuna kumponda mchezaji yeyote aliyeaminiwa na kocha.
 
ɓora tungefungwa na ƴanga kuliƙo hawa vibonɗe man u.
Wewe kijana acha kuongea pumba
Kiponde ni wewe mechi
Arsenal (2-0)
Bournemouth (4-0)
Man city (6-0)
Man utd (0-2)
Man city (?-?)

Sasa hiki kigenge chako na man utd nani kibonde? Usijitoe ufahamu
Sisi katika mechi 12 tumefungwa moja tena siyo domestic ni international (UEFA)
Sasa niambie nyie katika mechi 12 mumefungwa mechi ngapi!?
Acha kujifariji,kibonde ni timu yako fullstop!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom