Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Daah kazi tunayo. Tucheke kidogo.
IMG_20190222_162617_019.jpeg
IMG_20190222_162552_527.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Still Chelsea wanayo nafasi ya kusajili endapo wataamua kukata rufaa, watatumia huo mwanya wa kusubiri rufaa kusajili wachezaji wengine.
Kwa hiyo Chelsea haters msifurahi saaana
 
Tutaendelea kufurahi coz madhara ya kukata Rufaa ni Makubwa Zaidi kuliko Kuikubali adhabu uliyopewa pale unaposhindwa Rufaa yako.

Na uhakika Chelsea hawawezi kushinda hiyo Rufaa.
 
Hii rufaa mnayopanga msahau kushinda!! Atletco alipigwa ban na wakaisimamia kucha haswa na hawakutoboa....Chelsea ni nani?....Kwahy mnataka kusema waliotoa adhabu ni wajinga hadi wakosee,manake washajiridhisha na kila kitu. Na sonyo na nyota zilivyo nyingi chelsea, rufaa sahauni kushinda!! Nyie ni nani muiabishe FIFA na FA kua wanafanya mambo kimlipuko na hao wasomi ni uchwara? Relegation zone is loading
 
Chelsea have been in worst situations than these small issues. Better chill and watch what going to happen.

Naheshima mawazo yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom