Ligi ilivyoanza mlikua hamtuliiii vijiwen..kila siku mlikua mnatamani mcheze mpira na mliona kama vile kupumzika wiki moja ndy mchezo uwepo ilikua kero kwenu...mlikua kweny rada za ubingwa...nakumbuka zile mech za mwanzo hazard lazima atupie...nakumbuka alitokea sub ile mech ya liver anfield akawa na impact sanaa....Leo moshi wa sigara ileile iliyokua inawapa nguvu ya kushinda haipo tena. Jumapili mnakula 9 hlf Pep anajua ile ni fainal na bora hata ingekua ni ligi. Mtajuta kuingia fainal, yani ni bora mngekubal tu mtolew na Tot kuliko kufika juu na fedheha mpate. Hiyo fainali tumien huu mfumo wa 8-1-1 ndy utawafaa nawaambia. Shida yenu hamsikilizag ushaur. Poa!!!!
View attachment 1026327