Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

OFFICIAL: BVB have confirmed that Christian Pulisic has joined Chelsea in a €64m deal that will see him loaned back to Dortmund for the rest of the current season.


Sent using JF For iPhones
Sema inasikitishaa kubaki mpaka msimu uishe make usajili huu ulikuwa bora kwa sasa hasa kwa kuwa huyu mtu anaweza /ni mbadala wa wiliam na pedro ...sijui kwa nini wameafikiana hivo ...au ndo yale boss anataka menejaa hataki kwa sasa
 
Yani nyie wajinga mna tamaa sana, yan kila mchezaj ambaye liver anaonesha interest na nyie lazima mumtake. Hii ndio sababu team yenu inafeli sana sababu hamna macho ya kuona nani anawafaa ila mnasubir mpaka wengine wamuone nyie ndo mumuone.
Mngekuwa na macho msingeshidwa kubeba ubingwa miaka 29 yote.
Unapaswa kujua kuwa mchezaji aangaliwi na timu moja, besides kocha anacordinate na technical team kujua mahitaji ya timu. Wewe kamtu kamoja umekaa hapa buguruni alafu unataka kujifanya unajua kuliko watu walioko field wakati wewe kila kitu unakiangalia kwenye google na TV!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2015/16 goals 2 assist 0
2016/17 goals 3 assists 8
2017/18 goals 4 assists 6
18/ so on goal 1 assists 2

huyu Pulisic tumepigwa kweupe halafu kanunuliwa kwa pesa mingi wakati mkataba wake unaishia vile vile karudishwa BVB kwa mkopo

Sarri sio kocha ni msimamia mazoezi, time will tell
 
2015/16 goals 2 assist 0
2016/17 goals 3 assists 8
2017/18 goals 4 assists 6
18/ so on goal 1 assists 2

huyu Pulisic tumepigwa kweupe halafu kanunuliwa kwa pesa mingi wakati mkataba wake unaishia vile vile karudishwa BVB kwa mkopo

Sarri sio kocha ni msimamia mazoezi, time will tell
hapana mkuu...hii ilikuwa miongon mwa club target ya mda mrefu...business oriented.. kuteka america fan base...nike walicheza sehem kubwa kwa hii deal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Christian Pulisic; karibu darajani japo mwez wa nane mbali sana

Kutokana na kuonekana upepo kukata kwa Williun na Pedro, huu usaji ulikuwa bingo sana kumalizia msimu kwa Chelsea.... Okay...! Kwa sasa Hazard na Kante ndio waendeshaji wa mashambulizi kwa Chelsea(inawezekana Sarriball iliwahitaji pia Williun na Pedro kwenye kuendesha timu kwenda mbele).

Kuna wakati timu inamuelemea zaidi Kante, vivyo hivyo kwa Hazard. lakini pia kuna wakati timu inahitaji mtu wa kumsaidia Hazard, haswa kutokana na mara kadhaa amekuwa drafted kama mshambuliaji wa katikati.... Pulisic ni suluhisho kwa sasa.

Pulisic angeichukua ile flank ya kulia, kushoto awe mwenye timu Hazard na katikati aendelee kuendesha Kante..... Hii ingekuwa na faida sana kwa Chelsea kuelekea kuumaliza msimu kwa tumaini la kujikita zaidi ndani ya top 4.

Huyu ni mtu sahihi sana kama mbadala wa Pedro na Williun msimu huu. Bado sijaijua target ya Marina Granovskaia, inawezekana Sarri hana shida na miguu ya bwana mdogo huyu kwa sasa, au inawezekana hizi ni miongoni mwa zile sajili za Boss himself.
hahah williun hahahhjajajajajaj MEMKWA IRUDISHWE
 
2015/16 goals 2 assist 0
2016/17 goals 3 assists 8
2017/18 goals 4 assists 6
18/ so on goal 1 assists 2

huyu Pulisic tumepigwa kweupe halafu kanunuliwa kwa pesa mingi wakati mkataba wake unaishia vile vile karudishwa BVB kwa mkopo

Sarri sio kocha ni msimamia mazoezi, time will tell
Hilo lingine naweza kukusikiliza ila kusema Sari ni msimamizi wa mazoezi unakuwa wrong kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chelsea will now not only attract American viewers but they'll also attract American sponsors. So, it's a good marketing move and the money involved won't be an issue considering his age and nationality.
 
Yes, £57.6m for a 20 year old player who has 18 months left on his contract is a big amount of money. BUT this is not just a footballing move but a marketing move as well. Chelsea can recover this money in a year or two because of Pulisic's American link.
 
Christian Pulisic joins Kevin De Bruyne, Kurt Zouma, Christian Atsu, Michael Hector and Danilo Pantic as players who have signed for #Chelsea and been loaned out the same day.
 
Chelsea's most expensive signings ever:

Kepa Arrizabalaga (£71.6m)
Álvaro Morata (£70m)
Christian Pulisic (£57.6m)
Jorginho (£57m)
Fernando Torres (£50m)

(Source: Sky Sports)
 
Don't presume that Pulisic signing means Hazard is gone, or that Hudson-Odoi will be sold. Chelsea would love to go into next season with all three #cfc
 

Attachments

  • IMG-20190102-WA0033.jpg
    IMG-20190102-WA0033.jpg
    118.4 KB · Views: 32
  • IMG-20190102-WA0032.jpg
    IMG-20190102-WA0032.jpg
    98 KB · Views: 31
Ila huyu jamaa nna wasiwasi nae sana nikiangalia statistics zake. Ufungaji wa magoli. Labda aje kubadilika Chelsea kwa sababu ana 20 yrs.

Chelsea sasa hivi inahitaji winger mwenye end product (magoli). Fekir angefaa sana
 
I’ll be honest I don’t rate Pulisic at all and he hasn’t been good at all this season but it’s a good deal for the commercial side. He’s only 20 as well and can improve a lot under Sarri. And if it means Willian will be gone then it’s a smart deal imo. £57m is a bit too much tho
 
Ila huyu jamaa nna wasiwasi nae sana nikiangalia statistics zake. Ufungaji wa magoli. Labda aje kubadilika Chelsea kwa sababu ana 20 yrs.

Chelsea sasa hivi inahitaji winger mwenye end product (magoli). Fekir angefaa sana
Hata mzigo mliotoa mmepigwa pia £ 58 ml kwa mchezaji mwenye mkataba unaoisha 2020 ni nyingi mno but the way Pulisic bado ni Average player sana.
 
Odoi is the better dribbler. Pulisic is the better player.

Just compare the dribbling styles, Callum uses both feet, he doesnt have to turn his body to keep the ball on his stronger foot.
 
Klopp Pulisic to Chelsea: "[He's] a really good player, another good player for Chelsea. I've known him for a while and followed him [in his career]. Another really skilled boy playing in England."
 
Ila huyu jamaa nna wasiwasi nae sana nikiangalia statistics zake. Ufungaji wa magoli. Labda aje kubadilika Chelsea kwa sababu ana 20 yrs.

Chelsea sasa hivi inahitaji winger mwenye end product (magoli). Fekir angefaa sana
Upo sahihi kabisa

Sema chelsea huwa ni kama wanacheza kamari

Mara nying inawalipa ,hata kwa kepa ni kamari but imelipa, anaonesha ni ana uwezo mzuri tu,

Kwa bakayoko ,morata kamari ilifeli

Kwa pulisic ni kamari nyingine ,maana hata hapo BVB anawekwa bench sana, na BVB wamemuuza maana wana dogo anaitwa Sancho wanamuandaa kumuuza kwa bei kubwa tena kwa atakayejitokeza

Pulisic anataazamiwa kuwa moto siku za mbeleni,


Kuna mawili akawa kweli moto au akawa wakawaida bora hata ODOI,

All in all usajiri kama huu huwa ni kamari


Pulisic got benched by 2 newcomers and a LB this season...and there’s a reason why Favre let him go ahead of Sancho and Larsen and Wolf...Guerreiro is the LB that also benched Pulisic...


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom