joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,939
- 40,157
Kaka kazi ya utabiri huiwezi.Leo hakuna anayeondoka na Clean sheet, nina uhakika kwa asilimia 60 timu za nyumbani leo zinaweza zisipate alama 3.
Hebu ngoja tusubiri.
Sent using Jamii Forums mobile app