Kwa kweli sijui nisemaje[emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Kwa kweli sijui nisemaje[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila liver wameumia zaidi ya chelsea 😆😆
pole sanaAibu naona mimi....
Acha hizo, huu msiba ni wa kwao peke yao.
[emoji23][emoji23]poleniKichapo cha mbwa mitu.
Wakati mpira unaanza walipewa point 1 - 1 chelsea akawa juu ya man u. Dakika tatu akashuka chini yake. Sasa nashangaa ameshuka tena mpaka nafasi ya sita. Kwann mancity wanawabeba Aesenal na Man U. Kwani si wangeshinda 5 tu. Chelsea iwe juu ya arsenal?
Sisi liver hatuna presha. Gap la point 3 lipo pale pale. Kumbuka ana mechi zaidi.Ila liver wameumia zaidi ya chelsea [emoji38][emoji38]
Acha kuongelea yaliyopita, poleni 6 kavuMan city sio mara ya Kwanza kupiga 6 ,Man Utd alikula sita safi, ila poleni blues wenzangu hatujawai kupigwa hivi, Blue is the color.