Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hakupata hii kitu
IMG_20181206_105151.jpeg
 
Man city sio mara ya Kwanza kupiga 6 ,Man Utd alikula sita safi, ila poleni blues wenzangu hatujawai kupigwa hivi, Blue is the color.
ni kweli ila ilikuwa 6 kwa 1 tayari utofauti huo

kwani unateseka??
 
Yan Sarri hichi kipigo cha leo kimemchanganya sana...mechi imeisha badala apeane mkono na mwenzake, hakutaka...najua alitafsiri akitoa mkono tu,amekubaliana na kiganja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom