Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Mzigo huu hapaView attachment 1019141
Kulingana na Line-up ya Man City Walker na Zinchenko ndiyo their weakest points kwa leo.
Mzigo huu hapaView attachment 1019141
[emoji23][emoji23][emoji23] watuambie kama wamekikubali kikosiBora umewaletea kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Kabisa mkuuKulingana na Line-up ya Man City Walker na Zinchenko ndiyo their weakest points kwa leo.
Hahahhahaa leo hiyo nafasi ya kwanza lazima mtoke
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Hawashindwi kusema wamefungwa kwa ajili Fulani na Fulani hawajaanza au wameanza.[emoji23][emoji23][emoji23] watuambie kama wamekikubali kikosi
Kabisa mkuu
Bora umewaletea kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Dakika 90+nyongeza. Zitaamua.Chelsea siyo wajinga wakuachieni namba 4 kijinga jinga.
Hawa jirani zangu nawajua.Mtani punguza uchawi!
Kila Mtaa unaingia na tunguli 😀😀😀
Dakika 90+nyongeza. Zitaamua.
Yaani man city ni wazembe kiasi gani wafungwe na Chelsea waliofungwa mnara wa 4G na AFC Bournemouth[emoji23][emoji23][emoji23].?
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Hahaha, kulikuwa na sababu ya kuwakumbusha kile kipigo?
Tusubir kidogoAlonso vs Sterling
tuanze kucheka saiz au tusubiri dk 90