Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Kwa mechi ya jana ukimtazama Higuain alikuwa anarudi nyuma kutafuta mipira na wakati team inampira tayr ni jambo la kuset move kwenda mbele.
Na lingine ambalo ni tatizo kwetu ambalo asipopata watu sahihi wa kufanya hivyo hata akiletwa Icardi bado tatizo litakuwepo. Kwa timu inayomiliki sana mpira lazima iwe na uwezo mkubwa wa kupiga penetration passes kwahiyo unapokutana na timu inapack bus uwe na uwezo wa ku penetrate mipira ifike kwa foward.
Sasa Chelsea ikiwa na mpira wakifika mbele Kante anapeleka kwa Azpilicueta au Pedro na yeye akishindwa kupiga Cross anarudisha nyuma tena vile vile upande wa Kovacic, Hazard na Alonso/Emerson tunakuwa tunazunguka tu nje ya box lao kwa pasi ambazo hazileti manufaa kwetu.