Huwa anaziweka kwenye uzi wa timu iliyopata goliNumbisa popote ulipo, tunaomba tupatie zile gif zako za magoli. Bila kijali kamautakuwa umechelewa kuweka....
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa anaziweka kwenye uzi wa timu iliyopata goliNumbisa popote ulipo, tunaomba tupatie zile gif zako za magoli. Bila kijali kamautakuwa umechelewa kuweka....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mkuu
Mara mia hata kitumu chetu simba ah
hahahahah
Kumbe hakuna haja ya kuicheka Simba. Manara aitumie hii kujisafisha kuwa Simba ni bora kuliko ChelseaChelsea: Worst league defeat since 1991 when they lost 7-0 to Nottingham Forest.
Ole SendekaMechi ijayo ni F.A cup dhidi ya Man Utd ya Ole Sendeka.
Sarri anza kupaki mabegi yako, huu ni ushauri wa bure tu!
Mnashinda na njaa au..?
Hata ningekuwa mimi. 6 goals. Duuuuuh. Lakini hata sisi Arsenal tushawai fungwa 8 kwa 2 na Man U.MancityMagoli
Wote hao ni wa kuchota na kutupa ndani!Hazard sukuma ndani
Higuain sukuma ndani
Kante sukuma ndani
Luiz sukuma ndani
Pedro sukuma ndani
😂😂😂😂Wangeshinda tungeshangilia nao ila walivyokufa ni kivyao.
Naomba matokeo..Cityzens wakae tu ila uhakika huo ni baada ya kupaki bus
Ninaona The Blues mkishinda 1-0 na goli likifungwa na Odoi au Barkley au Ruben Loftus-Cheek
Kwa kweli sijui nisemaje
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Ole Sendeka anawakaribisha FA. Wekundu wa msimbazi unawasubiri.Maxence Melo unasoma lakini?
Ngapi huko?
Mechi ijayo mnacheza na nani vile?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ya waitaliano ni viburi sana. Atang'ang'ania ili afukuzweSari ni muda wa kujitafakari na kubadilisha stail ya uchezaji nadhan wachezaji wanampa tarfa indirect
Poor chelsea Poor sarr
Sent using Jamii Forums mobile app
Big Up kwa utabiri mzuri..Kuna hatihati mkala kiganja leo...cha muhimu huu mfumo wa 8-1-1 ndy ungefaa muutumie ili msipewe kiganja..shida yenu hamsikilizi ushauri...na mtakula kiganja nawaambia
Mtasema yote leoMan city sio mara ya Kwanza kupiga 6 ,Man Utd alikula sita safi, ila poleni blues wenzangu hatujawai kupigwa hivi, Blue is the color.