Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Its wrong to say Torres is a floopy signing, kama unajua mpira, huwezi mponda, the problem naona ameshindwa ku acclamatize na formation ya uchezaji wa Cheslki...with time i can see him on fire.

It was wrong kuanza na Anelka na Torres, t was better kuanza na Anelka na Drogba ambao wameshazoea kucheza pamoja na wamezoeana...

Its wrong the Roman kumuwekea shinikizo Ancelloti kumpanga torres, rejea ya MOURINHO na SHEVNCHENKO kipindi kileee....

Its wrong to think you were better than us

Its wrong kuwa Lamps n mzur kuliko Mikel this season....

Its wrong kuwa write nyie off kwa EPL race

Its wrong to think my above assertions are wrong.

You are wrong coz you are wrong.

Mmefulia.
 
Its wrong to say Torres is a floopy signing, kama unajua mpira, huwezi mponda, the problem naona ameshindwa ku acclamatize na formation ya uchezaji wa Cheslki...with time i can see him on fire........

Hiyo time wanayohitaji sie haoooooooooo...
BTW: Nimepita hapa kuweka shada langu la maua....am out..
 
Punguza hasira mkuu, na usisikilize redio mbao haitakusaidia sana. Tatizo kubwa la Carlo nafikiri ni jinsi ya kufanya sub na kushindwa kuona mchezaji yupi anaweza kucheza na mwenzie. Kama uliangalia mechi ya Wigan baada ya kuingia Benayoun, aliweza kumpa mipira mizuri sana Torres, kwa sababu Torres anacheza kwa kutumia nafasi. Drogba ni tofauti, hatumii nafasi yeye anapewa mipira direct kwenye mwili na hapa ndio tatizo lilipo, viungo wetu wengi wamezoea mfumo wa Drogba kwa hiyo Torres anaonekana mpita njia tu. Kosa la kocha ni kumwanzisha Torres, alipaswa aanzie bench kwenye mechi kubwa hii wacheze watu waliozoeana, na kama anaingia basi Benayoun ambaye ni mtoaji mzuri wa through pass nae aingie. Anyway, ngoja tuone kama Jose anarudi darajani.
Nafikiri tatizo kubwa ni Chelsea hakuna viunga ambao wanaweza kumchezesha Torres,Essien anaweza kumcezesha Drogba na mara nyingi Drogba anatumia ubavu wake kutafuta magoli kitu ambacho Torres hawezi kitu cha msingi ni kutafuta viungo ambao watamfaa Drogba.Game ya jana Drogba hakustahili kuanzia benchi.Nilimuonea huruma sana Ramires alipewa kazi ngumu sana kumlinda NANI ,nafikiri ilitakiwa wafanya rotation kumkaba otherwise NANI anajua kutafuta faulo na ndicho alichofanya jana.All in all kama next season mtafanya usajili mzuri timu yenu itakuwa kali sana ukizingatia Sturridge,Luiz watakuwepo ila Bosigwa,Ferreira,Mikel na Kalou hawa wafungishwe virago
 
Its wrong to say Torres is a floopy signing, kama unajua mpira, huwezi mponda, the problem naona ameshindwa ku acclamatize na formation ya uchezaji wa Cheslki...with time i can see him on fire.

It was wrong kuanza na Anelka na Torres, t was better kuanza na Anelka na Drogba ambao wameshazoea kucheza pamoja na wamezoeana...

Its wrong the Roman kumuwekea shinikizo Ancelloti kumpanga torres, rejea ya MOURINHO na SHEVNCHENKO kipindi kileee....

Its wrong to think you were better than us

Its wrong kuwa Lamps n mzur kuliko Mikel this season....Its wrong kuwa write nyie off kwa EPL race

Its wrong to think my above assertions are wrong.

You are wrong coz you are wrong.

Mmefulia.

I agree with you that Lampard has been poor this season, however it's ABSOLUTELY WRONG to compare him with Mikel, they are two different players with two different roles, one is attacking and the other is defensive midfielder.
 
Nafikiri tatizo kubwa ni Chelsea hakuna viunga ambao wanaweza kumchezesha Torres,Essien anaweza kumcezesha Drogba na mara nyingi Drogba anatumia ubavu wake kutafuta magoli kitu ambacho Torres hawezi kitu cha msingi ni kutafuta viungo ambao watamfaa Drogba.Game ya jana Drogba hakustahili kuanzia benchi.Nilimuonea huruma sana Ramires alipewa kazi ngumu sana kumlinda NANI ,nafikiri ilitakiwa wafanya rotation kumkaba otherwise NANI anajua kutafuta faulo na ndicho alichofanya jana.All in all kama next season mtafanya usajili mzuri timu yenu itakuwa kali sana ukizingatia Sturridge,Luiz watakuwepo ila Bosigwa,Ferreira,Mikel na Kalou hawa wafungishwe virago

duh hiyo avatar ni balaa
 
ftsit595.jpg

Kwa masikitiko makubwa Tor the res baada ya kuwekwa benchi wakati muuza unga
kutoka Nigeria akiwa karibu kabisa kwa anche ... .. wakiangalia mkung'uto
khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

FernandoTorres_2584871.jpg

Tor the res lost in the cowshed ... ... ...

UnitedvChelsea_2584878.jpg

Lamps hoi bin taabani baada ya kuzurula hovyo na kuiba mpunga
kwenye supermarkets kabla ya mpambano ... ... ..

TerryRooney_2584880.jpg

JT alichelewa mazoezini kwa sababu ya shughuli za unga
.... .. khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeee

Hernandezscores_2584889.jpg

Bang! .... .... chukua chuma khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

article-1376406-0B99A28500000578-906_634x355.jpg

Reality Cech .... ....

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
 
torres1204_650x454.jpg

Tor the res heads down .. . atachukua likizo ya muda moto umekuwa mkali ..... ..... .. .

VanderSarsave_2584925.jpg

Pamoja na kuchechemea kwa Rio pensioners wa Chelsick hawakufua dafu

khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Ramiresred_2584921.jpg

Next time wambie waje na mpunga wa kutosha sio fweza za kununulia peremende

mimi sio chief mangungo ... .....khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

DidierDrogba_2584922.jpg

Baada ya kuingia Drog the bar Vidic Ooops chijui ni Nani?!
alikuwa anaharisha ... ... .. khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee

article-1376406-0B99DA0E00000578-742_634x456.jpg

Down and out .... ... a bunch of losers ... khe khe khe khe khe klhe khe lkhe
 
cech_1291244a.jpg

HARSH LESSON ... Petr Cech

khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
gun__1302718246_ladies_chelsea.jpg

Arsenal Ladies got their FA Women's Super League campaign off to the best possible start after Gilly Flaherty's first-half goal gave Laura Harvey's side a 1-0 win over London rivals Chelsea Ladies.

Poleni wakuu mtakoma ubishi mwaka huu ... .... .. khe khe khe khe kheeeeeeeeeee
 
KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA KUTOA POLE ZANGU KWA WANA DARAJANI WOTE KWA KUMPOTEZA MWENZENU KENYA.......

More comments after kuanua matanga maana sipendi ukweli wakati wanajamii wanaugulia msiba wa Mwenzao.......
 
Nyepesi nyepesi za haraka zinasema Arrigo Sacchi ameonekana maeneo ya Cobham.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom