Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Since 1991 Ryan giggs has been tearing you apart.
Bluuuuuz!
 
Ahsante BJ, hongereni kwa ushindi. Nakutaia matokeo mazuri kwenye semi-final.

Thanks man!..we deserved it, umeona na wewe eeh!..sasa ile Torres mtaifanyaje?? jamaa kaharibu daraja kabisa!!
Hope tutashine semi!..
 
HA HA HA, letu moja "wafukuza upepo", hatusemani wala hatuchekani. Hamfai hata kupewa pole kwa maradhi ya kujitakia. Laleni unono.
 
Tena kuanzia sasa na mkae kimya kabisa. Angalau sie kwa mbaaali tunaweza ponea kikombe cha babu!
 
Belinda game imeshaisha, Mau U kashapita believe me. Kocha katuangusha, poor perfomer ever at history of Chelsea.

Peasant mzee angalia msimu ujao, huu hatujatoka hata MLISI.

I can see Jose back home on summer.
 
Anyway, its so hard to manage a club like chelsea as a manager where the OWNER is always on YOUR NECK. naambiwa na vyanzo vya Chelsea kwamba alitakiwa kuanza na TORESS na si Drogba kama wote tulivyofikiria lakini akalazimika.

OWNERS wakianza kuingilia maamuzi na team managers inakuwa matatizo, hasa kwa chelsea haya ndiyo yaliyomkimbiza Jose na wengineo kuondoka. MRUSI huyu ni MJINGA, pia anafikiri pesa ndiyo ushindi.

Kukuhakikishia haya, TORESS hakuwa target ya chelsea January, CHelsea ilihitaji Central defender wakati TERRY na ALEX wanaumwa, lakini kwa pesa zake na ujinga kamleta Toress na anataka apangwe kila game ili a justify manunuzi yake. Of couse wote tunajua Torres ni super striker lakini anahitaji muda kujuana na wachezaji wenzake, game kama hii lazima Manager awe na uhuru wa kuchagua good combination.

To me Roman is a looser as well, i think i dont like him MUCH, itachukua muda mrefu sana Chelsea kuchukua kombe la UEFA unlesss JOSE ARUDI msimu ujao.

My bad night.
 
Kukuhakikishia haya, TORESS hakuwa target ya chelsea January, CHelsea ilihitaji Central defender wakati TERRY na ALEX wanaumwa, lakini kwa pesa zake na ujinga kamleta Toress na anataka apangwe kila game ili a justify manunuzi yake.

He is a looser as well, i think i dont like him MUCH.

My bad night.

Mkuu naona leo umekiri nilichokuwa nawaambia long long time nani anapanga timu? Abraham na Amanolo muuza unga kutoka Nigeria na mlikuwa mnabisha . Mficha maradhi kifo humfichua. khe khe khe kheeeeeeeeeee baeleze peasants wenzako.
 
Anyway, its so hard to manage a club like chelsea as a manager where the OWNER is always on YOUR NECK. naambiwa na vyanzo vya Chelsea kwamba alitakiwa kuanza na TORESS na si Drogba kama wote tulivyofikiria.

OWNERS wakianza kuingilia maamuzi na team managers inakuwa matatizo, hasa kwa chelsea haya ndiyo yaliyomkimbiza Jose na wengineo kuondoka. MRUSI huyu ni MJINGA, pia anafikiri pesa ndiyo ushindi.

Kukuhakikishia haya, TORESS hakuwa target ya chelsea January, CHelsea ilihitaji Central defender wakati TERRY na ALEX wanaumwa, lakini kwa pesa zake na ujinga kamleta Toress na anataka apangwe kila game ili a justify manunuzi yake.

He is a looser as well, i think i dont like him MUCH.

My bad night.

Punguza hasira mkuu, na usisikilize redio mbao haitakusaidia sana. Tatizo kubwa la Carlo nafikiri ni jinsi ya kufanya sub na kushindwa kuona mchezaji yupi anaweza kucheza na mwenzie. Kama uliangalia mechi ya Wigan baada ya kuingia Benayoun, aliweza kumpa mipira mizuri sana Torres, kwa sababu Torres anacheza kwa kutumia nafasi. Drogba ni tofauti, hatumii nafasi yeye anapewa mipira direct kwenye mwili na hapa ndio tatizo lilipo, viungo wetu wengi wamezoea mfumo wa Drogba kwa hiyo Torres anaonekana mpita njia tu. Kosa la kocha ni kumwanzisha Torres, alipaswa aanzie bench kwenye mechi kubwa hii wacheze watu waliozoeana, na kama anaingia basi Benayoun ambaye ni mtoaji mzuri wa through pass nae aingie. Anyway, ngoja tuone kama Jose anarudi darajani.
 
Kazi kweli kweli kupanga timu ikiwa owner anakukoromea huyu lazima aanze na yule lazima aanze....huwezi kutia neno au kibarua kitaota majani. Kapoteza mapesa chungu nzima (50 million pounds) kwa Torres kumbe ni mdebwedo tu.
 
chelshit fans mpoooo?si mlisema nyie ndo msimu wenu umeanza???
 
Naam, klabu imedoda, tunafungwa kama tunaria vire...hata Mbwigan na wale wengine wiki ile walitutoa jasho.

Sturungi kaongea jambo zuri sana, kuwa akirudi, ni heri apewe namba. Mechi nane katingisha wavu mara sita akiwa uhamishoni Bolton.

Siku zote nilikuwa najiuliza, kwa nini rotation ya Carlo ilikuwa inanuka? KIla mara anamweka PanziSwala Kalou, huku Sturridge ni mzima na ni hatari zaidi. Kuna Yuri, Benayoni, Josh na hata Perreira hawapangwi. Ashley kama sikosei kacheza mechi zote mwaka huu, akiondoka nani beki tatu? Bosingwa?
 
I recommended Yoss to start along side Lampard and Essien at the mid - Drogba to start along side with Yury and Malouda. Ramires, Torres and Anelka to be at the waiting bench.

this result is not mine, i think CARLO will have nothing to prove at CHELSEA, i cant wait to see his days are very few at chelsea. - his life is less than remaining 45 min.
pole sana

unadhani anchelloti anajua hata kama unaexist?

hizo recommendations mie huziweka kwenye playstation tu!!!

Poor Torres, he is just a waste of time, money and space
 
By Richard Jolly, Old Trafford

They stood on the edge of the centre circle, drained and almost motionless, seeming barely capable of computing it all. The reality, the enormity, the brutality appeared to take time to sink in, as Frank Lampard and Didier Drogba, the two greatest players in Chelsea's recent history, lingered on the pitch after the victors had made their way down the tunnel. No wonder........

See you til then.........

Masalaam.
 
Anyway, its so hard to manage a club like chelsea as a manager where the OWNER is always on YOUR NECK. naambiwa na vyanzo vya Chelsea kwamba alitakiwa kuanza na TORESS na si Drogba kama wote tulivyofikiria lakini akalazimika.

OWNERS wakianza kuingilia maamuzi na team managers inakuwa matatizo, hasa kwa chelsea haya ndiyo yaliyomkimbiza Jose na wengineo kuondoka. MRUSI huyu ni MJINGA, pia anafikiri pesa ndiyo ushindi.

Kukuhakikishia haya, TORESS hakuwa target ya chelsea January, CHelsea ilihitaji Central defender wakati TERRY na ALEX wanaumwa, lakini kwa pesa zake na ujinga kamleta Toress na anataka apangwe kila game ili a justify manunuzi yake. Of couse wote tunajua Torres ni super striker lakini anahitaji muda kujuana na wachezaji wenzake, game kama hii lazima Manager awe na uhuru wa kuchagua good combination.

To me Roman is a looser as well, i think i dont like him MUCH, itachukua muda mrefu sana Chelsea kuchukua kombe la UEFA unlesss JOSE ARUDI msimu ujao.

My bad night.

Precise Man.Ata aje kocha kutoka wapi.Simulizi zitakuwa ni hizo hizo tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom