Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

My wife game is over, nipe wine nisubiri msimu ujao, kocha mjinga.
 
ooops 2-1, hapa sasa khali ngumu zaidi, tuanahijai bao 2 dk 78. miracle!
 
Naona Nani King of diving anafanya mambo yake hapa.

Jamaa huyo kasababisha wengi wapewe red card kwa kujigaragaza kama kapigwa kisu mara anapoguswa kidogo tu...halafu cha ajabu mareferee bado hawajamshtukia!
 
Peasant upo kamanda??!! nakusoma, leo ama zenu ama zetu!! ha ha
Belinda game imeshaisha, Mau U kashapita believe me. Kocha katuangusha, poor perfomer ever at history of Chelsea.

Peasant mzee angalia msimu ujao, huu hatujatoka hata MLISI.
 
Belinda game imeshaisha, Mau U kashapita believe me. Kocha katuangusha, poor perfomer ever at history of Chelsea.

Peasant mzee angalia msimu ujao, huu hatujatoka hata MLISI.

Du! poleni Elnino bado dk kadhaa ila inaweza kuwa ndiyo nitokee hiyo!..ni kujikakamua msimu ujao wa hii tournament!!

Peasant, Robot, Ab-Tichaz, Mchungaji wapi??!! mitini...ha ha ha
 
splash-Lamps_1290428a.jpg


Ndoto za mchana wakati jua linawaka khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Dah! Hongereni chelsick kwa ushindi mnono khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeee naona ndio msimu wenu unaanza chacha khe khe khe kheeeeeeeeeeeee
 
Game over tumetoka, tusuburi mwakani. Good lucky to Mancs for the semi-final.
 
TorresOShea_2584892.jpg




Tor the res galasa khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Watani poleni, ahsanteni for a good game tukutane May 7th tena kwenye mechi ya ligi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom