Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Players below are on Chelsea Radar in January 2019 window:
1) Gonzalo Higuaín 31yrs- striker -still a target
2) Mauro Icardi 25yrs- striker
3) Marko Arnautovic 29yrs- striker
4) Krzysztof Piatek 23yrs- striker
5) Denis Suarez 25yrs CMF
6) Jamie Vardy 32yrs- striker
7) Callum Wilson 26yrs - striker
8) Nicolò Barella -21yrs - MF
9) Leandro Paredes - 24yrs - MF
Piatek ni mzur sana bora hyo na sdhan km atakua na bei sn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Willian anachezea kwenye under quality aliyonayo. Ule ukakamavu wake tunaoujua haupo, anaanguka kirahisi na accuracy yake imepotea. Kakosa very important 3 chances, angezitumia vizuri maanake jana Willian angefunga peke yake 3 au 4, pamoja na kutocheza kwenye kiwango chake, bado naamini wakipatikana viungo na forward wazuri, game ya Willian itabadilika
 
Callum Hudson-Odoi kama kweli anataka nafasi apewe angalau dk30 inabidi aongeze kasi na creativity, ligi ya Uingereza ukilegeza misuli huwezi cheza
 
Alonso anafanya jogging tyu. Willian japokuwa kafunga lakn ni mbovu katika kumaliza (hana end product)
Alonso umri umeshaenda na kumbuka Alonso na Azpilicueta ndiyo mabeki wa Chelsea pekee waliocheza muda mrefu sana bila ya kupumzika.

Kwa mtizamo wangu watafutiwe wasaidizi au mechi za makonbe km FA na Europa wawe wanatokea benchi ili wawe na pumzi za kutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sarri “Today Jorginho was in trouble and on the bench there wasn’t a player for that position. I need an option for Jorginho.” Great banter from the Chelsea coach as he had the best player in that position in World football on the pitch, @nglkante. 🤣
 
Leandro Paredes (WhoScored),

Strengths, Weaknesses,
Passing - Very Strong
Discipline - Weak
Through balls - Very Strong
Key passes - Very Strong
Long shots - Very Strong
Taking set-pieces - Very Strong
Dribbling - Strong
 
Gattuso on Higuain: "It's difficult to keep a player who has made his choice. It's difficult to convince him."
.
[Looks like Higuain is on his way to Chelsea 👀]
 
Willian said the team need to be more CLINICAL the cheek of this fraud. The man whos missed countless one on ones & refused to pass for open 🥅 cost us many points & joint on same goals as Kante 👀 This man is shameless 🤢
 
Sarris fault for refusing to drop the same players who keep doing the same thing, saying there important, calling them the best, saying got potential, age over talent, stubborness, shambles, 😡 Making ALONSLOW & WILLIAN UNTOUCHABLE disgusting 🤢
 
Fab Replacement
Argentine midfielder Leandro Paredes has seemingly confirmed that he is heading for Chelsea.
 
Keep starting Alonso and Willian & you'll lose your job like your fellow countryman, Maurizio. Good luck.
 
Muhimu point tatu wakuu.

Tunacheza mpira mwingi lakini magoli yanakuwa machache.

Kwa sasa timu itafute straika hata wawili tukiongeza na beki ya pembeni asaidiane na Alonso au kocha aanza mtumia Emerson EPL..

Winga Odoi kama akibaki atatufaa sana kwa msimu ujao ..akiwa na Pulisic kushoto na yeye kulia kati kuna harzard mbele kidogo kuna Icard/higuani ..Willian inaonekana kaichoka Chelsea hivyo msimu ujao Sarri awape nafasi zaid Odoi ili kumpunguzia kazi Hazard..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Antonio Conte aliniaminisha kuwa Luiz kashachuja lakini kwa sasa amenionyesha kuwa bado kiwango chake ni kama ile ya 2010s mwanzoni. Natamani Chelsea wangeweka pembeni ile sera ya kuwapa mkataba wa mwaka mmoja wachezaji wenye umri mkubwa wa miaka 30 kwenda juu ili Luiz angalau apewe mkataba wa miaka 3 kabla Barcelona au Old Lady hawajaamua kumchukua. He is now very instrumental to Chelsea performance
 
Usilifananishe hilo kilaza PEP na libaguzi la rangi ktk mafanikio ya ukocha bora wa Mourinho.

Mourinho anazidiwa na Ancelot tu kimafanikio lkn PEP bado ni mdogo pia kimafanikio kumlinganisha na "SPECIAL ONE" JOSE MOURINHO, kama mimi ni mwongo, lete facts/uthibitisho wowote na chanzo cha habari kiwepo kisha utanielewa ninachoyakinisha hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
PEP tena kilaza jamani, kwani vilaza huwa wakoje?
Kumbuka huyo kilaza huyu ndie analipwa zaidi katika ligi za Ulaya kwa mshahara wa £15.3 millioni kwa mwaka, pia kumbuka kuwa PEP ndie aliyeifumua Man City iliyokuwa kichwa cha waenda wazimu na sasa ni tishio England na Ulaya kote.

Mimi ni mfuasi mkubwa sana wa Mou lakini Mou hawezi mkuta PEP kwa creteria zote za ubora wa kocha
Mfano katika wingi wa trophies PEP yuko juu ya Mou PEP anazo kama 23 wakati Mou ni 21 tu. Kwa makombe ya kimataifa kama UEFA nk, PEP anazo 8 sawa na Furgie, Ancelotti wakati Mou anazo 4 tu hata akina Banitez-5, Zizzu-7 wamempita Mou
Winning %age
PEP ana wingning %age ya 73 wakati Mou ni 65 tu hata Zizzu wa 70% amemshinda Mou
Kwa hiyi nahitimisha kwa kusema kuwa Kocha wa Football mzuri kwa nyakati zote anaweza kuwa ni Alex Furgusson lakini kwa current coaches ni PEP Guardiola. Mou inabidi ajitahidi sana ili afikie rekodi ya PEP.
Wakati Mou ana karibu miaka 20 akifundisha soka, PEP anazo 10 tu na haya mafanikio yote kayapata ndani ya hizo miaka 10
Kwa hiyo ukipima mafanikio ya makocha kwa rate ya mwaka mmoja PEP ni wa tatu baada ya Zizzu akifuatiwa na Bob Pasley kocha wa Liverpool aliyeipa jina Liverpool hii ya leo ambayo akina King NGwaba wanaishabikia, nafikiri asingekuwa Bob hawa washabiki wa Liverpool leo wangekuwa aidha man united, arsenal au Chelsea. Mou anakuja nyuma sana akipitwa na akina Luiz Enrique na Antonio Conte
 
Mourinho overall ana makombe 25
Pep overall ana makombe 24 na baada ya kushinda Champions League Mourinho alikuwa anahama timu so alikuwa na chance ya kushinda 4 more trophies (UEFA Super Cup & Club World Cup)

Statistics never lie but liers use statistics

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muhimu point tatu wakuu.

Tunacheza mpira mwingi lakini magoli yanakuwa machache.

Kwa sasa timu itafute straika hata wawili tukiongeza na beki ya pembeni asaidiane na Alonso au kocha aanza mtumia Emerson EPL..

Winga Odoi kama akibaki atatufaa sana kwa msimu ujao ..akiwa na Pulisic kushoto na yeye kulia kati kuna harzard mbele kidogo kuna Icard/higuani ..Willian inaonekana kaichoka Chelsea hivyo msimu ujao Sarri awape nafasi zaid Odoi ili kumpunguzia kazi Hazard..

Sent using Jamii Forums mobile app
mfumo wote n mbovu kufunga goli si lazima muwe na forwar ndio upate goli 100 timu yangu cfc ni mbovu ktk kushambulia
 
Leandro Paredes and Gonzalo Higuain will be key for this to happen, expect Paredes to sign in the next 48 hours and Higuain by the weekend. #CFC
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom