Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Usimdharau Mourinho mpaka kufikia Kumfananisha na Sari kama Wanavyofanya wenzio kumfanya OGS kuwa ni bora kuliko Mourinho.

Mou hajafika Level za kina Anceloti na PEP lakini atabaki kuwa ni Best Couch miongoni mwa Makocha Walio active kwa sasa.
Kwa upande wa uchezaji sio kimafanikio maana hawa walikuwa wakimponda kwamba kocha gani hajacheza mpira ambae ni mourinho sasa wameletewa sarri
 
Me personally I’d transition Kovacic to Jorginhos replacement and have barella and RLC share LCM. Barella also being able to support Kante. Either way though, Paredes is a good option too and I just don’t want Barkley near the starting side at the moment
 
Lazio are hoping to sign Zappacosta on a loan with an option to buy (with reasonable figures), while Chelsea are proposing an obligation to buy.

{Di Marzio}
 
Kweli kabisa mkuu. Hii taarifa nimejaribu kupitia hata vyanzo mbalimbali vya habari kama Skysport sijaona habari kama hizi. Jamaa nilimbishia mara ya kwanza akaanza kunikazia ni taarifa ya ukweli.

Sometimes you have to go with it even though you know its a bullshit. That's what I have done.
Usiihukumu Timu kwa tetesi za Magazetini.

Hivi unadhani Chelsea ni Wajinga Kufikia Kuzikataa £60m za Barcelona kwa Willian?
Hapo ndiyo ujue kuwa Bid ile haikuwa na ukweli Bali ni tetesi za Magazeti.
Nakuhakikishia ikitoa timu ikibid £40m kwa Willian basi Chelsea inamuuza.

Kwahiyo hiyo Bid ya Malcolm + Cash = €50m ni tetesi tu za magazeti lakini sio Bid rasmi kwamba imeletwa kweli.

Itakapoletwa hiyo basi Chelsea watafanya Swap hapo mchana kweupe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuponda kwa sababu hii. Coz ametmpita Chelsea na katuletea makombe. Ambaye labda anaweza kumponda Mou kwa sababu hiyo may be ni shabiki wa Liver au hata nyie wenyewe hata Arsenal hawawezi kwa sababu walikua na Wenger ambaye kwangu namregard kama hajacheza na kawaletea makombe.

Kwa mtu atakayetoa sababu kama hiyo namuona weak sana na uwezo wa kufikiri mdogo.
Kwa upande wa uchezaji sio kimafanikio maana hawa walikuwa wakimponda kwamba kocha gani hajacheza mpira ambae ni mourinho sasa wameletewa sarri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Willian to Barcelona Transfer Saga
Barcelona are considering making a second bid for Willian after a £50M+Malcolm bid rejected by Chelsea last night
My take
Hivi Barca wameona nini kwa Willian kiasi cha kuwa desperate kumsajili kwa dau kubwa kwa mchezaji wa miaka 30?
Pia Chelsea (Sarri) wameona nini kwa Willian kiasi cha kukataa dau kubwa kwa mchezaji wa miaka 30?
 
Nimemcheki Tammy Abraham akicheza Aston Villa a real wonderful striker, Chelsea ina hazina kubwa ya wachezaji chipukizi inatakiwa iweke plan nzuri ya kuwatumia la sivyo wanaweza wasiwafaidi
 
Si ulikuwa unasema hao youngsters wanafanya many mistake hawafahi kuchezeshwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si ulikuwa unasema hao youngsters wanafanya many mistake hawafahi kuchezeshwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Reference yangu kubwa ni Andrease na sikuwa na maana wasipewe nafasi kabisa, Karabao, UEFA ndogo inatosha kabisa kujuwa kuwa wanaweza kumudu mikiki ya EPL, mfano ODOI na Loftus Cheek wameproove kuwa wanaweza kupewa namba angalau substitute
 
Willian to Barcelona Transfer Saga
Barcelona are considering making a second bid for Willian after a £50M+Malcolm bid rejected by Chelsea last night
My take
Hivi Barca wameona nini kwa Willian kiasi cha kuwa desperate kumsajili kwa dau kubwa kwa mchezaji wa miaka 30?
Pia Chelsea (Sarri) wameona nini kwa Willian kiasi cha kukataa dau kubwa kwa mchezaji wa miaka 30?

Hili ndiyo tatizo la kuchukua Habari za Magazeti na twitter ukazifanya ndiyo Confirmed News kutoka kwenye timu!!

Hivi Unawafanya Barcelona ni Wajinga kiasi hicho watowe £50m + Malcolm kwa ajili ya Willian?
Nadhani umesahau kuwa hata Coutinho aliyekuwa gumzo basi ni Mchezaji wa Hakiba Kule Barca, then waje watoe £50m + Malcolm kwa Willian ambaye Hata Sib hana nafasi ya kucheza Kyle Barca?

Na unadhani Abramovic ni Bashite wa Kukataa £50m kwa Willian??
Hebu itokee hiyo timu itoe hizo hela uone kama Abra ataziacha.

Nakuhakikishia Haitotokea timu ikazidi £30m kwa ajili ya Willian.

Jaribu Kufatilia Habari kutoka Vyanzo vya timu husika pamoja na wakala wa mchezaji husika.

Nimejaribu Kupitia Mtandao wenu wa Timu na Sarri ameyazungumza haya.

Screenshot_20190112-152518.png

Maurizio Sarri on Willian and Alvaro Morata future, and public Bayern pursuit of Callum Hudson-Odoi | Official Site | Chelsea Football Club
 
View attachment 992511

Hello King Ngwaba, pamoja na kuwa kuna taarifa nyingi za udaku mtandaoni lakini sio vyema kwa ujasiri ukapinga kila taarifa na pia usiwasemee Barcelona kwa sababu hujui wao wameona nini kwa Willian ambayo nyie hamuwezi kuiona.

Mfano, hata SkySports ambao mnadai taaifa zao sio za udaku wamepublish hii habari kwenye mtandao wao

Nukuu
Barcelona have renewed their efforts to sign Chelsea forward Willian, proposing a deal which would see Malcom move to Stamford Bridge, according to Sky sources.

Barca tried to sign Willian last summer, making three bids for the Brazil international. The final offer worth more than £55m was rejected in July.

Barcelona signed Malcom instead for £38m from Bordeaux, but the 21-year-old has seen first-team opportunities limited at the Nou Camp, with several more established names ahead of him in the pecking order.

Willian is aged 30 and his Chelsea contract runs out in the summer of 2020, having signed for the club for £30m from Anzhi Makhachkala in 2013.
Barcelona renew interest in Chelseas Willian

Kwa taarifa tu, Chelsea wamekataa hayo mabilioni wakidai kuwa pesa inayotolewa na uzoefu wa Willian haviendani, yaani pesa ni ndogo.

Tungije mwishoni mwa mwezi ndio tutajua mbichi nambivu yote
 
Usilifananishe hilo kilaza PEP na libaguzi la rangi ktk mafanikio ya ukocha bora wa Mourinho.

Mourinho anazidiwa na Ancelot tu kimafanikio lkn PEP bado ni mdogo pia kimafanikio kumlinganisha na "SPECIAL ONE" JOSE MOURINHO, kama mimi ni mwongo, lete facts/uthibitisho wowote na chanzo cha habari kiwepo kisha utanielewa ninachoyakinisha hapa.
Usimdharau Mourinho mpaka kufikia Kumfananisha na Sari kama Wanavyofanya wenzio kumfanya OGS kuwa ni bora kuliko Mourinho.

Mou hajafika Level za kina Anceloti na PEP lakini atabaki kuwa ni Best Couch miongoni mwa Makocha Walio active kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ndiyo tatizo la kuchukua Habari za Magazeti na twitter ukazifanya ndiyo Confirmed News kutoka kwenye timu!!

Hivi Unawafanya Barcelona ni Wajinga kiasi hicho watowe £50m + Malcolm kwa ajili ya Willian?
Nadhani umesahau kuwa hata Coutinho aliyekuwa gumzo basi ni Mchezaji wa Hakiba Kule Barca, then waje watoe £50m + Malcolm kwa Willian ambaye Hata Sib hana nafasi ya kucheza Kyle Barca?

Na unadhani Abramovic ni Bashite wa Kukataa £50m kwa Willian??
Hebu itokee hiyo timu itoe hizo hela uone kama Abra ataziacha.

Nakuhakikishia Haitotokea timu ikazidi £30m kwa ajili ya Willian.

Jaribu Kufatilia Habari kutoka Vyanzo vya timu husika pamoja na wakala wa mchezaji husika.

Nimejaribu Kupitia Mtandao wenu wa Timu na Sarri ameyazungumza haya.

View attachment 992511

Maurizio Sarri on Willian and Alvaro Morata future, and public Bayern pursuit of Callum Hudson-Odoi | Official Site | Chelsea Football Club

Hii habari ipo skysports na pia bbc. Hivyo vyombo vya habari vina network kubwa kuliko wewe. Angalia tu list ya pundits, players, veterans wa epl, coaches, na experience iliyotukuka utajua nani wa kuaminiwa kati ya wewe. Alafu unapaswa kuelewa kuwa transfer news are very confidential. Hivi leo club iseme inamfuatilia Huguain Unafikiri performance ya Girud au Morata itakuwaje Mechi hizi ambazo bado wako Chelsea?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom