Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,505
- 7,466
Salah yuko exactly position moja na Messi
Itakua ni ujinga kumuachia. Sijui tutakuja kujivunia nini kama tutamuuzaDogo anasepaa...
Bayern Munich have made a fresh £35m bid for Callum Hudson-Odoi, reaching Chelsea's valuation of the winger.
Inaoneshwaaa wapii?Game ya leo tukijikuta tunafunguka tu tutabugizwa mengi sana. Hii game siyo ya kuonyesha ujanja ujanja ni ya kutafuta draw. Tuko ugenini leo hakuna kuremba
Sent using Jamii Forums mobile app
Oliver ndio kituko chenyewe, lensman kibendera juu yeye ameng'ang'ana na VAR nyokoo zake!
Total sportek. Then utakuta link nyingi sana. Hapo utachagua mwenyewe. Mara nyingi natumia link ya Sky sports ndio inakua full HD.Unatumia website gani mkuu?
Total sportek. Then utakuta link nyingi sana. Hapo utachagua mwenyewe. Mara nyingi natumia link ya Sky sports ndio inakua full HD.
Sent using Jamii Forums mobile app
Juu kuna category tofauti ya michezo kama Tennis, Football, Cricket. We chagua football hizo link zitakuja zenyewe.Then unaenda wapi baada ya kuingia kwenye website?