Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii VAR haina msaada wowote yenyewe ndio inaleta controverse badala ya kutatua
 
Chelsea's struggle of scoring goals continues.Chance after chance, shot after shot without any end product. A defeat is a defeat and of course it hurts but I'm not that mad with the result. Chelsea looked really good in the second half. Let's see what happens in the 2nd leg.
 
Mkuu acha kuwa kama wale. Ndio kwanza msimu wa kwanza pia hajafanya usajili zaidi ya Jorginho tu. Alitegemea atawa transform Giroud na Morata kuwa on fire lakini imeshindikana. Mimi naomba tumpe muda at least tuanze kum judge baada ya msimu ujao.
Tunacheza mpira mwingi lakini hauna maana. Huyu Sarri kaja kuiharibu Chelsea aise..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
08.01.19 #TOTCHE
- Hudson-Odoi is a better attacker than most of our experienced players
- Still a firm believer that false 9 stifles Hazard's creativity
- Kante is truly something else, has adapted so well
- That left side of Alonso, Barkley and Willian was awful to watch
 
7 - Eden Hazard was fouled on seven occasions against Tottenham; the most fouls he has won in a single game this season. Targeted.
 
Mkuu acha kuwa kama wale. Ndio kwanza msimu wa kwanza pia hajafanya usajili zaidi ya Jorginho tu. Alitegemea atawa transform Giroud na Morata kuwa on fire lakini imeshindikana. Mimi naomba tumpe muda at least tuanze kum judge baada ya msimu ujao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ofcourse tumpe muda lakini kama gemu ya leo ilikuwa ya kushinda kabisa. Tottenham walishashikwa na nilitegemea tungeshinda 2-1 ..bado tunaitaji zaid kufanya usajili hasa wa forward kama cavan au Icard...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Statistics bila end product ni ujinga
 

Attachments

  • Screenshot_20190109-011444.png
    Screenshot_20190109-011444.png
    10.2 KB · Views: 28
Yeah hili ndio la msingi. Walau kwa muda mfupi tupate forward wa kumaliza naye msimu. Otherwise hata kwenye EPL matatizo yatakuwa ni yaleyale.
Ofcourse tumpe muda lakini kama gemu ya leo ilikuwa ya kushinda kabisa. Tottenham walishashikwa na nilitegemea tungeshinda 2-1 ..bado tunaitaji zaid kufanya usajili hasa wa forward kama cavan au Icard...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We lost the game but we won the performance. To be able to resist Spurs press and pass at pace and as calm as we did is great. We continued to play our way. The work continues for Sarri but he has to realise that Willian and Alonso will continue to set us back. #TOTCHE
 
Eden Hazard's game by numbers vs. Spurs:

92% passing accuracy
72 touches
8 take-ons completed
7 fouls won
5 chances created
3 shots
2 shots on target

Any help, guys? 😬
 
Chelsea - Spurs thoughts:

- Kanté good
- Jorginho decent
- Barkley utterly useless
- CB’s solid besides high line on pen
- Alonso tries when he wants
- Willian’s good work rate = Myth
- CHO should’ve stayed at RW
- Hazard created but needs help
- Chelsea need a striker
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom