Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Mchawi wa Chelsea kufikia hadi hapa leo hii tulipo ni CONTE.
Utamuuzaje COSTA nakati ubingwa wa EPL tuliochukua 2013-2014 alikuwa na magoli 24, pia 2016-2017 ni huyo huyo tena COSTA alikuwa na magoli 22?
Chelsea kuingia top 4 ni ndoto kabisa za abunuwasi Machifu.
Sasa Conte si mmeshamtimsha?
Hivi bado mnapiga pasi nyingi au nazo zimeyeyuka?