Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Chelshit atadondoka tu iwe leo au kesho, chelshit ni mtoto mdogo sanaWazee wa kujinyongaa
Naona unawaza kumdondosha CHELSHIT hapo juu
Chelshit atadondoka tu iwe leo au kesho, chelshit ni mtoto mdogo sanaWazee wa kujinyongaa
Naona unawaza kumdondosha CHELSHIT hapo juu
Nipo naandaa maturubai kwa ajili yaan man city hapaChelshit atadondoka tu iwe leo au kesho, chelshit ni mtoto mdogo sana
zola keshawaanda kisaikolojia..kasema bado wanajenga timu.Chelshit atadondoka tu iwe leo au kesho, chelshit ni mtoto mdogo sana
Wewe hata ushinde game zote, EPL hubebiNipo naandaa maturubai kwa ajili yaan man city hapa
Pesa nyingine ntanunulia ya kwako ya trh 29
Ww hata Arsenal icheze na matunguli uwanjani UEFA huingiiWewe hata ushinde game zote, EPL hubebi
Tunazungumzia EPL hapa, usijitoe fahamu,Ww hata Arsenal icheze na matunguli uwanjani UEFA huingii
Tunazungumzia EPL hapa, usijitoe fahamu,
Mna gundu na epl,
Labda mliibeWw mwaka huu hiyo hapo nanyenyua penda usipendee
Ww UEFA hutokuja kubeba mpk kiama



Acha wakung'utwe tuChelsea hii game mmeifanya ngumu wenyewe
Angalau tuliwah shinda. Vip wewe UEFA. una nn nayo? Maana huna hata nyayoTunazungumzia EPL hapa, usijitoe fahamu,
Mna gundu na epl,

Lin ulishinda epl? Leta picha yakeAngalau tuliwah shinda. Vip wewe UEFA. una nn nayo? Maana huna hata nyayo![]()
![]()