interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,409
Kwani wewe unaona tatizo la Man U liko kwa wachezaji na Makocha wanaokuja sasa hivi tu?Sasa Conte si mmeshamtimsha?
Hivi bado mnapiga pasi nyingi au nazo zimeyeyuka?
Fergason ndiye Mchawi namba 1 maana aliiacha timu imechukua ubingwa lakini kupitia uzoefu tu ila haikuwa na lolote.
So kumfukuza Conte siyo issue, bali pengo la Costa limeshazibika?