Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Fucking Sarriball


IMG_20181220_170542.jpg
 
Alonso amepata golden chance in injury time analose.........dah nilishahesabu suluhu nimefumba macho nafumbua nakuta ngoma inagonga nguzo.....dah siku ya kufa nyani
 
Mchawi wa Chelsea kufikia hadi hapa leo hii tulipo ni CONTE.

Utamuuzaje COSTA nakati ubingwa wa EPL tuliochukua 2013-2014 alikuwa na magoli 24, pia 2016-2017 ni huyo huyo tena COSTA alikuwa na magoli 22?

Chelsea kuingia top 4 ni ndoto kabisa za abunuwasi Machifu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom