Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Hahahahahaha! Mbn hatukuonana Sikonge stesheni?, au haukuja na 'jongoo' nn toka JNIA?.....
Karibu sana tena mtani, kijiwe kilikuwa chini na usimamizi thabiti wa Padre Masa na Mkulima. Tumemiss mipicha yako kaka!, hope utakuja na mi-upload ya kulin asali frm Africa. :wink2:
Well well well si tulisema karibu sana ndiyo dirisha dogo hili ... .... .... longtime mpira ndio utakuwa mzuri sio mnajificha nasikia Manure kijasho chembamba kinawatoka wamekiona cha moto. Tunakwenda kuwasalimia tarehe 12 lunchtime kuwaonyesha tu what to come kwenye FA Cup, tukiwa tunatoka kuwakomoa Barca Nou Camp. Karibu sana.
</p>Mkuu, nilikua natumia mabasi kusafiri.</p>
<p>Asante kwa kunikaribisha na mipicha itakuwepo bila wasi. naona Wacha1 amezidi kupandisha mzuka tu na hajaacha zake...LOL!</p>
<p> </p>
<p>Nenda jukwaa la picha nimeeka mavitu huko.
Hahaha, nimeipenda hiyo BJ lakini bado nimeficha jino la Xmas maana ndio kwanza tumepunguza point 3 tu ngoja tuone zitatufikisha wapi.
Kwa kuwa Man U anapoteza mechi ya leo (surely they can't respond...) na sisi tukishinda mechi zetu mbili, tutakuwa na points 54 (just 6 points behind Man U).
Hapana Mkuu mtakuwa level kwa point .... ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Manure hawawezi kushinda tena si umesikia wamezila hawataki kucheza tena EPL ... ... khe khe khe kheeeeeeeeeee wanasema wanaonewa.
Are we back in the title race?
Yes, League is still OPEN.......
Man U has lost focus.... chance to Chelsea to come back...... natabiri bao la kwanza kwa Torres Leo.
Ndiyo raha ya ligi ya Uingeleza na ndiyo maana inapedwa duniani.
...Wacha1, unaona huyu mgonjwa kaanza jeuri kisa anaweza kunywa uji mwenyewe eeh?
heheheh, kadri wanavyomchezesha nando na anafail kufunga ndivyo confidence inashuka. Ila leo nadhani anatoa bicra yake ndani ya jezi ya chelsea.Ligi inaelekea ukingoni ndio kwanza ANCELLOTI anatafuta combination gani ya striker inafaa kwa timu yake loool. Leo anajaribu torres na drogba, anelka katupwa nje. Wanataka ku-force kuonesha Pound mil 50 hijaliwa ha ha ha.
Ligi inaelekea ukingoni ndio kwanza ANCELLOTI anatafuta combination gani ya striker inafaa kwa timu yake loool. Leo anajaribu torres na drogba, anelka katupwa nje. Wanataka ku-force kuonesha Pound mil 50 hijaliwa ha ha ha.
heheheh, kadri wanavyomchezesha nando na anafail kufunga ndivyo confidence inashuka. Ila leo nadhani anatoa bicra yake ndani ya jezi ya chelsea.