AmarokB
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 893
- 753
Ok subiri bajajLiv vs Nap sare ya aina yeyote
Me ndio nimeshabet na nimesubmit kuwania bajaji
Ok subiri bajajLiv vs Nap sare ya aina yeyote
Me ndio nimeshabet na nimesubmit kuwania bajaji
Hata ugonjwa haujagundulika bado
Mimi nimeshabet Liv vs Nap sare ili nipate kibajaji
Wanaobisha akiwemo Ngwaba waje waniongezee bet hapa.
Kama una ujasiri wa kushinda weka dauNajua haya Ni Maneno ya JF tu lakini ninauhakika Huna ujasiri Wa Kuibetia Napoli Ushindi wala Sare Coz una uhakika leo hawaponi
Kama una ujasiri wa kushinda weka dau
Mkuu pole sana.
Hongera Don, naona mmechomozea upande wa pili
Tumewaletea mhangaike naye Europa, kwa hiyo jiandaeni kukutana na kocha wenu wa zamani.
Yap, japokuwa kwa hatua inayofuatwa hatuwezi kupangwa against each other labda huko mbeleni
Kama una ujasiri wa kushinda weka dau
Kweli kila kocha na mfumo wake moaurinho ana damu ya kungumiView attachment 965446
Hahaha alituaminisha mourinho anakosea sasa kaja sari karudi kulekule kwa zamanMiongoni kwa Wahanga Wa Kutimuliwa Kwa Conte Ni huyu!
Conte alimfanya aonekane bonge la mchezaji