Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,935
- 27,196
Ndio muanze kumfananisha na HazardKile kinaitwa "Cha-Pig" kimoko tu lakini watoto kama woteee
Ndio muanze kumfananisha na HazardKile kinaitwa "Cha-Pig" kimoko tu lakini watoto kama woteee
Hazard sio kwamba sio mzuri ila ni overrated player. Ni mchezaji wa kawaida sanaNdio muanze kumfananisha na Hazard
Bado msimamo uko palepale
Mleteni Liverpool pale atapata namba dakika za 80 akishatoka ShaqiriNingependa kumuona hazard akipata mafanikio makubwa lakin ni wwzi kabisa hawezi kuyapata hapa kwenye hii timu yangu...kiroho safi hazard move on,nenda kachase dream zako mdogo wangu
uwe seriously kwenye mambo ya mpira overrated player amekuwa mchezaji bora wa epl, ameingia fifa pro xi,anaongoza kikosi bora kabisa cha beligium uwe seriousHazard sio kwamba sio mzuri ila ni overrated player. Ni mchezaji wa kawaida sana
Eden Hazard is overrated. Get the point, sijasema Hazard ni mbaya hapana anajua kiasi chake lakini sifa anazopewa hastahili.uwe seriously kwenye mambo ya mpira overrated player amekuwa mchezaji bora wa epl, ameingia fifa pro xi,anaongoza kikosi bora kabisa cha beligium uwe serious
Hazard sio kwamba sio mzuri ila ni overrated player. Ni mchezaji wa kawaida sana
hili Sarri kalijibu mara nyingi kwamba kwa mfumo wake KAMWE hatamchezesha Kante mido ya Kati. kwa style ya mpira anaofundisha ni either Joginho ama Fab. upo kiongozi?
Ningependa kumuona hazard akipata mafanikio makubwa lakin ni wwzi kabisa hawezi kuyapata hapa kwenye hii timu yangu...kiroho safi hazard move on,nenda kachase dream zako mdogo wangu
Kweli kabisa mkuu yani kiwango chake sio consistency.Eden Hazard is overrated. Get the point, sijasema Hazard ni mbaya hapana anajua kiasi chake lakini sifa anazopewa hastahili.
Get the point, usikurupuke.
Hazard is Overrated.
Unajua wanaoiharibu Chelsea wala sio defence, katikati, kule mbele hawachezi mpaka wapinzani wanapata muda wa kupanga movement. Walahi angekuwepo Drogba, Diego COst, Hazard, Lampard hao wanajidai mbele yetu leo wasingesogea hata kidogo kwa mabeki. Akina Willian, Morata wamegeuka kuwa mizigo kwenye timu, Hao ndio wanaiharibu timu na Sarri bado anawavumilia kama babu
Hazard ni mchezaji mzuri,sawa, lakini tujiulize, anaweza kuwafungia mabao mangapi kwenye season moja? Mpaka sasa ameichezea chelsea game 317 na kufunga jumla ya magoli 97. Hii ni sawa na wastani wa magoli 0.39!uwe seriously kwenye mambo ya mpira overrated player amekuwa mchezaji bora wa epl, ameingia fifa pro xi,anaongoza kikosi bora kabisa cha beligium uwe serious
Harzad ni half season wonder, Walitaka eti waanza kumcompare na Salah ambaye yeye kila mechi lazima afunge au atoe assist.
Jaman Hazard bado sana labda tumlinganishe na Wakina Zaha.
hazard ni mchezaji mzuri sana kwakweli hilo halina ubishiHazard sio kwamba sio mzuri ila ni overrated player. Ni mchezaji wa kawaida sana
ukweli ni kwamba huna mchezaji wa kumlinganisha na hazard pale liver kwasasaHalf Season? Usimuoverrate kwa sifa asiyokuwanayo ya ½season Wonder!
Mkuu bado haijafika Half season Ndiyo Kwanza Mchezo wa 15 na tayarai Baskeli ya Mabua imeishia Kimara mwisho ilipojaribu Kutaka Kuelekea Nzega ikitokea Ubungo.
Katafute Kumbukumbu utaona Stats kuwa Hazard ni Five Games Wonder "
Hata hamn haya upo nafas ya ngap na huyo mwenye mpododo hapo CFChu
ukweli ni kwamba huna mchezaji wa kumlinganisha na hazard pale liver kwasasa
suala la nafasi sio ishu kubwa sana suala la maana zaidi tuangalie end of the season nani katoka na nini....isije ukaja kuleta stori tu hapa wakati ni trophiless........mara ngapi unakuwa katika hiyo nafasi then end of the day unainamisha kichwa chini wanaume wananyanyua kwapa........Hata hamn haya upo nafas ya ngap na huyo mwenye mpododo hapo CFC