Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wakuu hii mechi ngumu. Tuko ugenini tambueni. Lolote linaweza kutokea. Kama mtakua mnakumbuka kuna msimu mmoja wa Conte hawa hawa Tot ndio walituharibia ile winning series.

Tuombe tu kina Morata wasifanye uzembe na beki iwe fresh tusiruhusu hata goli moja.

Holla Blues

😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Hii mechi nimeibetia magoli mengi kipindi cha pili halafu hakuna gg
 
Jojina mpira hajui anajua kupiga pasi tu
hajui kukaba
hajui kushinda
hawezi kuassist
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom