Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,482
- 8,657
Kotwaaaaaaa anajuuuta
Bado aanze kupigwa benchUtani pembeni, Courtois anatia huruma sana huku kwenye hii derby.
Kuna mtu alisema kipa bei ghali duniani anafungwa...Kama kawaida yetuView attachment 914290
Alinyosha mguu mpaka msuli ukakaza na bado akashindwa kuzuia goli la Willian.Huyu jamaa kwani vipi hapaView attachment 914304
Msaliti uyooo acha abomolewe tuuu...Utani pembeni, Courtois anatia huruma sana huku kwenye hii derby.
Hahahahaha unaona kama vile hakiishi....Hiki kikao walai nipo physically tu...View attachment 914179