Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hili ni tatizo kubwa sana na linatucost. Yan timu inapoongoza inajisahau kabisa katika ulinzi tuna concede magoli kizembe mno. Kama na wale mashetani tulijua tunashinda sema walikuja kupata moto baada ya kuona tunafungika. Bora kocha amewahi kuligungua hili mapema.
Sarri: “We conceded space and conceded a very stupid goal and I didn’t like it. It’s very dangerous. If you make the same mistakes against a very high level opponent like Liverpool or United, you're in trouble. We need to control matches better, especially when we're in the lead"
 
Makombe ......... Chelsea ina miaka 112 lakini ina makombe 26 tu wakati Giggs ana miaka 44 ana Makombe 35 hahahahahahahahaha
Turudi kwa Salah na Hazard..... Magoli ni uwezo binafsi wa mchezaji Makombe ni Mafanikio ya timu.
Hii ina uhusiano gani na swali???????
 
According to Willian ...wachezaji wanaufurahia mfumo wa Sarri.

Na hii inapendeza sana.
Screenshot_2018-10-28-10-05-52.jpeg
 
Kama kocha amegundua hili itakuwa ni vizuri sana.

Angejaribu hivi

Azp Kristiansen Rudger Alonso

Halafu Luiz awe anatokea bench kum backup Kristiansen.

Kati amuweke...

Kante Jorgihno Kovavic

Barkley awe sub ya Kova.

Mbele amuweke...

Hazard Giroud Willian

Pedro awe backup ya Willian na Morata/Ruben wawe backup ya Giroud..

Pia kocha ajaribu kuwapa nafas Odoi, Emerson, Ampadu..nk

Hili ni tatizo kubwa sana na linatucost. Yan timu inapoongoza inajisahau kabisa katika ulinzi tuna concede magoli kizembe mno. Kama na wale mashetani tulijua tunashinda sema walikuja kupata moto baada ya kuona tunafungika. Bora kocha amewahi kuligungua hili mapema.
 
Hujui hata unachokiongea.. nan kaishia makundi sasa???
Messi pamoja na Argentina waliishia raundi ya 16 baada ya kutolewa na France kwa kipigo cha bao 4-3

Huo ndo utofauti wa Hazard na Messi kwenye FIFA ..

Hazard kma captain aliifanikisha timu yake ya taifa kuchukua nafas ya tatu world cup.

Messi kama captain aliifanikisha timu yake kufuzu hatua ya makundi na hatimaye kuishia raundi ya 16.
 
Kama kocha amegundua hili itakuwa ni vizuri sana.

Angejaribu hivi

Azp Kristiansen Rudger Alonso

Halafu Luiz awe anatokea bench kum backup Kristiansen.

Kati amuweke...

Kante Jorgihno Kovavic

Barkley awe sub ya Kova.

Mbele amuweke...

Hazard Giroud Willian

Pedro awe backup ya Willian na Morata/Ruben wawe backup ya Giroud..

Pia kocha ajaribu kuwapa nafas Odoi, Emerson, Ampadu..nk

We hata timu yako huijui kwa sababu uko busy kufuatilia timu za watu

We umeshawahi kumuona lini Ruben Loftus-Cheek akicheza namba 9 ??
 
RLC ni middle. Hawezi cheza kama striker.
Kama kocha amegundua hili itakuwa ni vizuri sana.

Angejaribu hivi

Azp Kristiansen Rudger Alonso

Halafu Luiz awe anatokea bench kum backup Kristiansen.

Kati amuweke...

Kante Jorgihno Kovavic

Barkley awe sub ya Kova.

Mbele amuweke...

Hazard Giroud Willian

Pedro awe backup ya Willian na Morata/Ruben wawe backup ya Giroud..

Pia kocha ajaribu kuwapa nafas Odoi, Emerson, Ampadu..nk
 
Kumekucha yule kijana ruben aliyefunga hattrik ni vyema leo akaanza mahala pa hazard kama hazard bado hayuko njema
Mkuu Acha utani hata kama hazard hatakuwemo hawezi kucheza Loftus cheek
Sarri ana kikosi chake cha europa league na cha league kuu England kama unamfatilia vizuri
Kule mbele leo kama hazard hatakuwepo ni Pedro Morata na willian
 
Hili ni tatizo kubwa sana na linatucost. Yan timu inapoongoza inajisahau kabisa katika ulinzi tuna concede magoli kizembe mno. Kama na wale mashetani tulijua tunashinda sema walikuja kupata moto baada ya kuona tunafungika. Bora kocha amewahi kuligungua hili mapema.
Hii kitu Pep guadiola ilimkuta msimu wake wa kwanza alipokea sana vichapo mfululizo
Kwa mfumo wa Sarri nyuma lazima mashimo yawemo
Kuyazuia inahitaji msimu mzima Ndio David Luiz na Rudiger wamwelewe vizuri
Hata pembeni kwa Aspi na Alonso bado pia kuna matobo
Team imekamilika katikati tu kwa mtazamo wangu
Kule mbele tunahitaji mshambuliaji atakaezitendea haki nafasi nyingi zinazotengenezwa na viungo wetu
Ni hayo tu
 
Me Willian na Moses sina chuki nao ila muda wao umeisha. Pedro na Odoi RW ndo naona wapewe nafasi. Effect ya Odoi dakka 30 dhidi ya BATE unanipa moyo. kuna dogo kama Sancho (Dortmund) anapewa nafasi. Lakn tatizo la Chelsea kwa youth ni la miaka yote.
Kama kocha amegundua hili itakuwa ni vizuri sana.

Angejaribu hivi

Azp Kristiansen Rudger Alonso

Halafu Luiz awe anatokea bench kum backup Kristiansen.

Kati amuweke...

Kante Jorgihno Kovavic

Barkley awe sub ya Kova.

Mbele amuweke...

Hazard Giroud Willian

Pedro awe backup ya Willian na Morata/Ruben wawe backup ya Giroud..

Pia kocha ajaribu kuwapa nafas Odoi, Emerson, Ampadu..nk

Impact ya Pedro ni kubwa ana goal 3 mpaka sasa ila Willian na kaanza Mara nyingi. Au siku front three nataman iwe (Hazard... Odoi... Pedro) nna uhakka itatisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom