eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Sio mbaya ila Pedro acheze kama namba 9Heheheh...Giroud ana link up nzuri ni bahati ya magoli amekosa.
Ningesema tucheze Willian - Hazard- Pedro
Sio mbaya ila Pedro acheze kama namba 9Heheheh...Giroud ana link up nzuri ni bahati ya magoli amekosa.
Ningesema tucheze Willian - Hazard- Pedro
Kama uliangalia europa league katikati ya wiki Christensen na Cahill walikuwa na makosa mengi sana
So kwangu mimi luiz anaafadhali kuliko Christiensen
Hapo hapo hajamuweka dogo CHOHazard hayupo hata sub
UmemalizaHii kitu Pep guadiola ilimkuta msimu wake wa kwanza alipokea sana vichapo mfululizo
Kwa mfumo wa Sarri nyuma lazima mashimo yawemo
Kuyazuia inahitaji msimu mzima Ndio David Luiz na Rudiger wamwelewe vizuri
Hata pembeni kwa Aspi na Alonso bado pia kuna matobo
Team imekamilika katikati tu kwa mtazamo wangu
Kule mbele tunahitaji mshambuliaji atakaezitendea haki nafasi nyingi zinazotengenezwa na viungo wetu
Ni hayo tu
Hapo hapo hajamuweka dogo CHO
Hazard hayupo hata sub
InjuryYoung hajamtoa bado alipomficha.