Retards Finder
JF-Expert Member
- Apr 24, 2018
- 509
- 705
Aisee.Sasa sariball ndo inaanza kukolea, ukiona midfields wanaanza kufunga jua mvua ya magoli inaanza kuja.
Unazi bhana!
Ahahaaah!!!
Aisee.Sasa sariball ndo inaanza kukolea, ukiona midfields wanaanza kufunga jua mvua ya magoli inaanza kuja.
Mechi yetu na ya Barca zimenipa furaha balaa...Hahahahaha unaona kama vile hakiishi....
There can only be one free player.Willian angekuwa ana perform hivi kila week. Angekuwa na magoli mengi
Walisema bila Hazard Eden hatushindi.
Nadhani anaona kinachompata mwenzake ...Hazard aende akapotee kama kokoto tibat
Hahahaha hasa Qotwaa ..ndo ametupa raha sana sisi fans wa Darajani ..Mechi yetu na ya Barca zimenipa furaha balaa...
This Kid is the next big thing .. Najua inawezekana tutatofautiana ila naamini Courtois kuondoka imekuwa Baraka zaidi kwetu..KeppaKuna mtu alisema kipa bei ghali duniani anafungwa...




Maurizio Sarri -
"Ross is doing very well in this period. He’s improved in the defensive phase and he has improved his physical condition. He’s a very good player from a technical point of view. Now I think Ross is complete."
Word... Today alikuwa WillianThere can only be one free player.




Kabugizwa 5 ataikumbuka Chelsea na EPL kwa ujumlaUtani pembeni, Courtois anatia huruma sana huku kwenye hii derby.
Hahahaha ukianza na ya Barca unaeza maliza hata GB moja.Vi GIF vinamaliza MB. Ntaweka ya wiki ijayo. Wiki hii magoli mengi mno khaa
Hahahaha ukianza na ya Barca unaeza maliza hata GB moja.
Ila pole sana kwa kipigo.
Pia hongera sana kwa ushindi.