eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Modric alitwaa tuzo ya mchezaji bora wa michuano hiyoWe hazard kafanya nini kombe la dunia??
Hazard alishika nafasi ya pili na kuchukua mpira wa silver [emoji471]
Griezman alishika namba tatu
Acha ubishi mkuu
Hata kwenye league zinazoendelea bado messi hajafikia ubora wa hazard tangu kombe la dunia liishe