Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Anataka kucheza mpira wa kasi sn maana Morata ni mwepesi sn kuliko Giroud.

Kitu kingine Morata amekua akiwafunga sn hawa Utd hivyo anataka kuitumia hiyo nafasi. Ata hivyo atacheza Dk 60 tu then ataingia Giroud
Dah uchambuzi mwingine, Morata kawafunga Man Utd goli ngapi kwani katika career yake yote hadi useme huwa anawafunga? I Think Hazard Ndio kawafunga Man Utd magoli mengi kuliko any current Chelsea player.
Morata I guess ni moja tu Kama kumbukumbu zangu zipo sawa
 
Na leo atafunga pia ..

Maana gemu ishakuwa nyepes..
 
Match stats
Screenshot_20181020-152506.jpg
 
Ikifika kwenye mbinu morinyo hakawii kutushangaza,afungwi na team kubwa hovyo
 
Ikifika kwenye mbinu morinyo hakawii kutushangaza,afungwi na team kubwa hovyo
Mourinho hata msimu ulioisha round y 2 alizifunga liver na chelsea akiwa na kiwango duni hivhiv
Sema amenifurahisha sana kuwaziba midomo hawa wapiga ramli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom