Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Point dhaifu kabisa. Kepa Arrizzabalaga, Antonio Rudiger, Alonso, Jogihno, Kovacic, Kante, Barkley, Morata, Giroud; zaidi ya wachezaji saba na wote ni wa kikosi cha kwanza. Na hawajafikisha hata misimu mitatu.

Msimu huu mmemsajili Allison na Keita kama wachezaji ambao ni ingizo katika kikosi cha kwanza. Chelsea wakati huohuo imewasajiri Kepa, Jogihnho na Kovacic. Sasa sijui unazungumzia chemistry ipi?

Useme tu Liverpool inasajiri wachezaji wa kawaida na hivyo inawachukua muda ku-click. Mwangalie VVD ameingia mara moja ktk kikosi cha kwanza.
Wana ile kauli "Klopp bado anajenga timu"

Sijui imekuwa mnara wa Babel ...maana msimu wa nne huu inajengwa lakini sasa atujui itakamilika lini..!

Sijui itaanza lini kutumika kama timu ..
 
Unapoutazama Mpira Kwa Upofu Siku zote Utaendelea Kuwa Kipofu...

Kinacholeta Mashaka Ni Mpale Mshabiki Wa Chelsea anaposema "Chelsea ina Miezi Miwili tu Kwa Sarri lakini inafanya Vizuri"!!!!

Hivi Kwa Pale Uengereza Ukitoa Chelsea na Spurs Ni Timu gani Nyengine Wachezaji Wake Waliokaa Kwa Muda Mrefu na Kutengeneza Chemistry ya Muda mrefu?

Kinachowaangusha Spurs Ni Kuwa Uwekezaji wao Ni Mdogo Wanawekeza Kwa Wachezaji Wa kawaida (Average)..

Lakini Chelsea Kwa Muda Mrefu Wamewekeza Kwa Wachezaji Waliokuwa Talented hapo Mwanzoni ambao Wapo Kwenye Timu Kwa Muda Mrefu 3+ years.

Sasa Sarri ana miezi Miwili lakini Wachezaji hawana Miezi Miwili na Ndiyomana unakutia Hata Yule Kocha Wa Ndondo Conte alibebwa na Timu akachukua Kombe.

Tofauti na Timu Zetu Man United, Arsenal na Liverpool ambazo Kila Window unakutia Sura Mpya Makocha Wakihangaikia Kutengeneza Chemistry jambo ambalo Linahitaji project ya Muda mrefu.
Mkuu ukiangalia Chelsea kwa misimu mitatu/minne ivi imekuwa na wachezaji tofauti tofauti waliokaa mda mfupi na kuzoeana mapema.

Mfano kikosi kilichobeba europa, baada ya mourihno kuja alikibadilisha na baadhi ya wachezaji kama Oscar, Luiz, Ramires, Pert Cetch, na nk...waliondoka.

Mourihno akaleta Diego Costa, Matic, Willian, Qotwaa nk.. ambao ndo alichukuanao ubingwa epl. Msimu unaofata akaboronga na timu kuishia nafasi ya kumi.

Alipokuja Antonio Conte, baadh ya players waliondoka mf ivanovic, john terry, nk.. ambapo Conte alimrudisha tena David Luiz, akamleta Alonso, Kante Ngolo na Mitch Batshyuai nk.. ambao nao pia walibeba ubingwa. Msimu uliofata timu ikavurunda ambapo ndo alikuja Alvaro Morata, Rudger, Zappacosta, nk..

Msimu huu sasa chini ya Sarri ambaye amesajili mtu kma Jojinyo, Kepa, na Kovavic ...

Kwaiyo mkuu ukiangalia kikosi cha Chelsea kwa misimu kadhaa kimekuwa kikibadilika kutokana na kila kocha anayekuja, anakuja na wachezaji wake..

Ni wachezaji wachache sana wenye misimu zaid ya mitatu apo darajani mf Hazard, labda Luiz, Cahill, Moses, Azpcweta, Willian, nk ..

Tofauti na Liverpool au Tottenham au man u wachezaji weng wana misimu zaid ya mitatu.
 
Leo Hapa Nitajaribu Kukaguakagua kinachoendelea kuanzia Mida za Saa 10:15 jioni ili nijue nini kinaendelea.

Kila La Kheri Soton

Kushinda na Kutokushinda hilo sio la kwangu.

Baada ya dakika 90 ndiyo kitaamulika.
 
Kwa miaka 10 mfululizo ......
Wachezaji bora wa dunia wametoka ligi gan?
Uefa team za ligi ipi zimechukua?
Europa zimechukua team za ligi IPI?
Club bingwa dunia zimechukua team za league IPI?
Sorry kiswahili changu c kizur but mtu akipata majibu ya hayo maswali atajua ligi gan ni bora
unajua vigezo vinavyotumika kuamua ligi bora duniani?
hizo ulizotaja hakuna hata moja!
 
Dressing room banter. Eden Hazard in @thetimes: “In the dressing room we say that Sarri is the father of Jorginho because they always talk & laugh together. I understand why because Jorginho is a fantastic player. He makes life simple for us: the right ball at the right moment.”
Jorginho ni fundi wa mpira
 
Wana ile kauli "Klopp bado anajenga timu"

Sijui imekuwa mnara wa Babel ...maana msimu wa nne huu inajengwa lakini sasa atujui itakamilika lini..!

Sijui itaanza lini kutumika kama timu ..
Inaonekana Liverpool wachezaji wake ni wa kawaida sana
Nyota ni wawili tu sallah na kipa wao basi labda kwa mbali vvd
 
Leo Hapa Nitajaribu Kukaguakagua kinachoendelea kuanzia Mida za Saa 10:15 jioni ili nijue nini kinaendelea.

Kila La Kheri Soton

Kushinda na Kutokushinda hilo sio la kwangu.

Baada ya dakika 90 ndiyo kitaamulika.
Kukagua ni vizuri lakini ya kwenu ni kipigo mkibahatisha sana sare leo
 
Stayle yake ya uchezaji inamfanya kila mchezaji kuufurahia mpira
Tutafute striker tu maana ndio tatizo letu
Striker huyu hapa Krzysztof Piatek raia wa Poland

Piatek for Giroud?
One reason Chelsea might be willing to let Giroud depart is that Sarri already has a replacement lined up.
Who is it? According to the Italian outlet Calciomercato, it’s Genoa frontman Krzysztof Piatek.
Slapped with a £32m price tag, the 23-year-old has recently attracted interest from Manchester United, Liverpool, Tottenham and Borussia Dortmund but it seems Chelsea are in pole position to land the Poland international.
 
Unapoutazama Mpira Kwa Upofu Siku zote Utaendelea Kuwa Kipofu...

Kinacholeta Mashaka Ni Mpale Mshabiki Wa Chelsea anaposema "Chelsea ina Miezi Miwili tu Kwa Sarri lakini inafanya Vizuri"!!!!

Hivi Kwa Pale Uengereza Ukitoa Chelsea na Spurs Ni Timu gani Nyengine Wachezaji Wake Waliokaa Kwa Muda Mrefu na Kutengeneza Chemistry ya Muda mrefu?

Kinachowaangusha Spurs Ni Kuwa Uwekezaji wao Ni Mdogo Wanawekeza Kwa Wachezaji Wa kawaida (Average)..

Lakini Chelsea Kwa Muda Mrefu Wamewekeza Kwa Wachezaji Waliokuwa Talented hapo Mwanzoni ambao Wapo Kwenye Timu Kwa Muda Mrefu 3+ years.

Sasa Sarri ana miezi Miwili lakini Wachezaji hawana Miezi Miwili na Ndiyomana unakutia Hata Yule Kocha Wa Ndondo Conte alibebwa na Timu akachukua Kombe.

Tofauti na Timu Zetu Man United, Arsenal na Liverpool ambazo Kila Window unakutia Sura Mpya Makocha Wakihangaikia Kutengeneza Chemistry jambo ambalo Linahitaji project ya Muda mrefu.
King Ngwaba wacha kujifanya unajua football na management of players.
Formation inapobadilika timu yote inakuwa mpya na hii bila kupinga ni the real fact. Anayeamua ni kocha na mfumo wake, management yake, namna ya mazoezi ambayo huletwa na kocha nk. Liverpool wana Klopp kwa muda mrefu akiwa na sehemu kubwa ya wachezaji wale wale. Spurs hivyo hivyo, Man united na city usiseme. Ni Chelsea tu na Arsenal katika timu kubwa zilizoingia kwenye mfumo mpya na adaptation ya kumzoea kocha na mfumo wake na benchi lake la ufun di ndio inayoifanya timu ionekana mpya
 
Mzee wa "some one will suffer" .. Klopp has been there long enough kumfananisha na Sarri ,.. kubali tu somewhow Sarri ameweza kuunda Chemistry ya timu kwa formation yake kwa muda mfupi kuliko watu walivyotarajia .. 4 seasons and counting endelea kusubiri Mo Michu afufuke maana bila hivyo "Futuhi" itawahusu next season
Wakubali tu kuwa wachezaji wa Chelsea ni wazuri kuliko wa wa kwao
Ndani ya msimu mmoja wachezaji wameadapt formation ya Conte na kubeba kombe na ndani ya msimu mmoja wataadapt mfumo wa Sarri na kubeba kombe Mungu akipenda wao wakiendelea kuwa watazamani na wasindikizaji tu
 
It’s Matchday! The blues travel to Southampton in an attempt to keep their unbeaten record in tact, and return with all 3 points.

I’m expecting the usual strong starting line up from Sarri, with Giroud starting up top. Pedro back, Luiz and Rudi at the back.

Come on Chelsea!
 
Kepa anamzidi hadi Salah kwa passes
 
Attachments

  • Screenshot_20181007-100005.png
    Screenshot_20181007-100005.png
    58.7 KB · Views: 36

Similar Discussions

Back
Top Bottom