eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Kufunga kwa miguu kunampa tabu sana alvaro morata sijui kwa nini
Bora hata samataSarriball
Sarrismo
Imekolea mno pamoja na kubadilisha sana kikosi
Tutafute striker tuView attachment 887173
Twende Leizpg tumnunue Timo WennerNimependa sana namna sarriball anavyobadilisha kikosi ili kuwapumzisha wengine
Stayle yake ya soka inafanya wachezaji wote wafurahie kucheza maana naona hata wale wa bench wanaupiga mwingi tu wakipata nafasi
Na hii humfanya kila mchezaji kuwa fiti kutokana na kupata nafasi ya kucheza
Emerson palmieri ni mara ya pili anaanza na nimegundua ni beki mzuri anaestahili kucheza pia
Zapacosta nae vilevile japo kidogo achomeshe mahindi Baada ya pasi aliyopewa na goalkiper
Yote kwa yote team inahitaji striker wa maana na striker huyo sio mwingine ni Mauro Icard
Uza morata
Nunua Mauro Icard
Rudisha michi batshuay team nyingi zitaumia mno kwa stayle hii ya sarriball au sarrismo
Huyu jamaa kwa mipasi ni nyoko bhana.Faby jana alikichafua ni balaa. Alipiga mpira mwingi mno
Hafai. Yaani jamaa juzi ndio alikua DM pale alafu madogo kina Kova na Loft wakawa wanapanda na kushuka. Alikua anapiga mipasi ya kufa mtu ni shidaHuyu jamaa kwa mipasi ni nyoko bhana.
Stayle yake ya uchezaji inamfanya kila mchezaji kuufurahia mpiraIla Sarri huyu masigara dhamira yake sio nzuri. Jamaa juzi kafanya 8 changes ya kikosi chake lkn hao aliowapanga na wao wanakichafua ni balaa. Yani ukiwaangalia jinsi wanavyo kipiga unachoka.
Back line iliyokua inaongozwa na Cahill ilikua vzr na jamaa walikua wanajituma vibaya sn. Ukija Kwa viungo vya kati ndo usipime Mateo Kova na Faby na Loft then badae Ross akaingia yani ni balaa. Huko mbele Pedro na Willy ni shida. Kuna wachezaji wachache sn km Moses na Zappacosta hawa bado hawajaliamsha haswa.