Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Kukagua ni vizuri lakini ya kwenu ni kipigo mkibahatisha sana sare leo
Huyu. Delle Ali amecheza mechi ngapi msimu huu?Kepa anamzidi hadi Salah kwa passes
Nilitamani Kovacic na Pedro wangeanza.Barkley nategemea atasaidiwa na Kovacic... Willian atasaidiwa na Pedro... Giroud atasaidiwa na Morata... mpaka 90 mins
Na "Short on target" kamzidi pia. Haa haa! nakoleza tu!Kepa anamzidi hadi Salah kwa passes
Mtabahatisha kama ile ya Chelsea darajani dakika ya 89. Hapo vipiHapa ndiyo Washabiki Wa Chelsea Wanapofanana Mawazo na Mitazamo!!!
Sare Ni yetu Sote! Sasa Kwanini Mmoja abahatishe na Mwengine asibahatishe Hiyo sare?
Ikiwa itakuwa Sare kwanini Hukusema Man City atabahatisha Sare?
You have tried to be honestNo Doubt Hazard Ni UNSTOPPABLE hata hivyo KILA LA KHERI SOUTHAMPTON
Newcastle XNo Doubt Hazard Ni UNSTOPPABLE hata hivyo KILA LA KHERI SOUTHAMPTON